Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile
Dactari Wa Muda Wote🚑

@drmanonga

Do Good the Future is Nature 🙏
Good Health Special Life 💪

ID: 1218808623595429888

calendar_today19-01-2020 08:13:27

23,23K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦Afya Bora ya Mapafu Kula aina hii ya antioxidants 👇 👍 Tangawizi 🫚 👍Pilipili 🌶️ 👍Zabibu🍇 👍 Strawberries 🫐🍓 👍Nyanya 🍅 👍Kokomanga 👍Nanasi 🍍 👍Kitunguu maji 🧅 👍 kitunguu Swaumu🧄 👍 Apple 🍏 👍 Broccoli 🥦 👍machungwa 🍊 👍 Pilipili hoho 🫑

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦Ukipata Nafasi ya kusaidia wenye uhitaji,,Fanya kwa moyo bila kusita ,, Mafanikio ni kuwa Fanya waliokuwa na huzuni na uhitaji,,wana Nuru ya Furaha kwa nyuso zao,, Hizo ndio Baraka ,, Wema Siku zote huzaa Mema.

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦 Technologia inakuwa Kila siku vitu vipya vinaibuka,, Kuna watu wapo kwaajili ya kubomoa pia wapo watu kwaajili ya kujenga,, Hivo-Amua kuishi kwenye kujenga na kusaidia pale penye uhitaji,, Kumbuka Kutunza Afya Yako na Kujenga Thamani kwenye harakati za Maisha Kila siku.

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦Hakikisha msosi wa mchana hukosi +Mboga za majani🥗 +Protein=samaki,nyama,maharage,maziwa +Matunda -Vitamins Mix ya =tikitimaji 🍉, Nanasi 🍍,ndizi 🍌,chungwa 🍊, nyanya🍅,tango🥒 cabbage🥬 +Ugali Dona,wali,viazi au magimbi +Maji Muhimu kusaidia mmeng'enyo mzuri wa chakula.

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦Ishi Maisha ukiwa na moyo wa kushukuru, Ukikosa Leo Tambua kesho ni Siku yako ya Kupata , Amini, Focus,Fanya inavowezekana kuwa Bora zaidi ya Jana.

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦 Haijalishi watu watawaza na kufikiri nini kuhusu wewe ,, Ila jali kuhusu wewe,, Tunapoteza sana muda na nguvu nyingi kuhofia mawazo ya wengine ,,waseme au wapende tunachofanya ,, Jiheshimu ishi na kutengeneza Thamani yako,, Success isn't a Popularity contest.

Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

"Ukimtisha kichaa akakimbia, Ujihoji" Na Askofu Benson Bagonza, PhD Wapo watu wanaamini kuwa kelele hutatua migogoro, kwamba tishio linakomesha fujo, na kwamba nguvu ni jibu kwa utovu wa nidhamu. Lakini hebu fikiria tena, kwa utulivu. “Ukimtisha kichaa akakimbia, ujihoji,”

"Ukimtisha kichaa akakimbia, Ujihoji"

Na Askofu Benson Bagonza, PhD

Wapo watu wanaamini kuwa kelele hutatua migogoro, kwamba tishio linakomesha fujo, na kwamba nguvu ni jibu kwa utovu wa nidhamu. Lakini hebu fikiria tena, kwa utulivu.

“Ukimtisha kichaa akakimbia, ujihoji,”
Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦ONGEZA TESTOSTERONE HORMONE LEVELS ✅ Vitunguu swaumu🧄 zikate Meza punje 4 ✅ Tangawizi 🫚 Tafuna kipande ✅ Tikitimaji 🍉 Tafuna na mbegu zake ✅ Karanga mibichi 🥜robo ✅Tende punje 4 ✅Asali mbichi🍯kijiko kimoja ✅Tafuna Mbegu za maboga robo Kuwa Imara ni kuchagua 🍆

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa — Simba Sports Club. Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦kuwa na Tabia ya Kujua na Kutambua mabadiliko ya mwili wako Kila siku ✅Pima blood pressure ✅Punguza kula sukari ✅ Punguza kula chumvi ✅Punguza vyakula mafuta ✅Kula ugali Dona wa kitanzania🇹🇿 ✅Kula Mboga za majani 🥗 ✅ Kunywa maji ✅ Mazoezi

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦ISHI AFYA ACHA ✂️Ngono zembe ✂️Pombe Kali ✂️madawa ya kulevya ✂️Uvivu &woga ✂️kukata tamaa ✂️Kunywa dawa bila maelekezo ya Daktari (kimazoea) ✂️sigara ✂️ NYETO Kuwa na Mwili Imara na Akili Tulivu ni Utajiri mpya 💪

Dactari Wa Muda Wote🚑 (@drmanonga) 's Twitter Profile Photo

💦Tafuta pesa Pata Amani, tumia Hekima na Busara kufanya maamuzi, Saidia wenye uhitaji, Ishi Maisha yako Usisahau kujali Afya Yako na kuwa Bora Kila siku.