EL-Bajong🐐 (@el_bajong) 's Twitter Profile
EL-Bajong🐐

@el_bajong

If by anychance you ever need nothing,am here for you✌🏽

ID: 1292434470574927872

calendar_today09-08-2020 12:16:25

6,6K Tweet

357 Followers

163 Following

EL-Bajong🐐 (@el_bajong) 's Twitter Profile Photo

Napenda vile baddies wako invested na hii stori ya patelo na huyo mokoro wake💀.Kijanaa atasumbua sumbua for a minute before mjue moves zake fully.Kila mdume hukua na that kairo moment before mambo ikupambanie.Happy for that brother🫡.

Na sio ujinga,BIEN anafaa achuje huyo manzi yake from the managerial duties amseti tu kejani ama akue anafanga mambo ingine.Soon BIEN atachukuliwa na hawa walami na atauza soul. Na hapo ndio mambo itabadilika💀.