(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile
(---) Onesmo Mushi

@edutalktz

EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People

ID: 1388257473036005378

calendar_today30-04-2021 22:22:48

53,53K Tweet

37,37K Followers

1,1K Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huu ni ushaidi tosha kwamba Tanzania tunaongozwa na Rais ambae anauwezo mdogo sana kiuongozi. Na kwa kauli hii ni wazi kwamba huyu ni muuaji na yeye ndo muhusika Mkuu kwenye matukio yote ya ndugu zetu kutekwa na kupotezwa. Ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu kuwa na Kiongozi kama

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa takwimu za #OECWorld , Tanzania inatumia zaidi ya billioni 30 kuagiza viberiti kutoka nje, haswa India, kila mwaka. Wakati huo2 Integrated Labor Force Survey ya Tanzania 2021 inasema wahitimu wa VETA ni moja kati makundi makuu mawili yenye shida ya ajira Tanzania.

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Bibi aliulizwa swali moja tu na Gwajima mpaka leo anaweweseka. Aliambiwa aimagine tu kuwa mwanae Abdul ndio ametekwa na kupotezwa kama Soka mpaka leo, ingekuwa sawa? Aimagine tu Abdul ametekwa halafu asubuhi anaoneshwa madimbwi ya damu, ingekuwa poa?🤔

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Waliopata uongozi kwa uchawa na si uwezo ndio waliotuletea haya mambo ya kutekana na kuuana kulinda vyeo vyao..Ukiangalia vizuri waliokulia kijani toka madogo janja hawapo kwenye hizi skendo ila ndio forena washajipa vyeo hata wao hawana say tena

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Unasoma biographies za viongozi wakuu wa nchi kama JK Nyerere, Nelson Mandela, Kwame Nkurumah, Deng Xiaoping, Lee Kuan Yew, Ho Chi Minh, etc., halafu unakumbuka Rais wa Tanzania ni Samia. Kuna mambo yanakatisha tamaa sana!!😰

Unasoma biographies za viongozi wakuu wa nchi kama JK Nyerere, Nelson Mandela, Kwame Nkurumah, Deng Xiaoping, Lee Kuan Yew, Ho Chi Minh, etc., halafu unakumbuka Rais wa Tanzania ni Samia. 

Kuna mambo yanakatisha tamaa sana!!😰
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

You are such a scam aisee, yani wewe ni tapeli wa kisiasa. Bunge la nani limempa nani tuzo? Hauoni haya aibu kupost upupu kama huu?

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kuna mambo ukiyasoma kwa madikteta wa kishitoria kama wakina NERO unaona kama waandishi wameamua kuwa dramatic. Kabla haujapinduka unasikia Bunge la Tanzania limempa Rais tuzo😂😂🤔, ukistaajabu ya Musa. Hii mixture ya ushenzi na arrogance ni dalili mbaya ya narcissistic

Kuna mambo ukiyasoma kwa madikteta wa kishitoria kama wakina NERO unaona kama waandishi wameamua kuwa dramatic. Kabla haujapinduka unasikia Bunge la Tanzania limempa Rais tuzo😂😂🤔, ukistaajabu ya Musa.

Hii mixture ya ushenzi na arrogance ni dalili mbaya ya narcissistic
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Naona Rais Samia Suluhu , kiongozi mkuu wa nchi ambaye kwa mujibu wa katiba ya JMT anawajibika kwangu, ameamua kuniblock😎. Sijawahi kuona kiongozi mkuu wa nchi petty n insecure kiasi hiki🙌🏿.

Naona Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> , kiongozi mkuu wa nchi ambaye kwa mujibu wa katiba ya JMT anawajibika kwangu, ameamua kuniblock😎. 

Sijawahi kuona kiongozi mkuu wa nchi petty n insecure kiasi hiki🙌🏿.