E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile
E Digital

@efmtanzania

Official Account for E Digital | Representing E-FM Radio and TV-E Tanzania| #MuzikiUnaongea | #Tunavyoishi

ID: 2373472766

linkhttp://efm.co.tz calendar_today05-03-2014 09:31:52

18,18K Tweet

51,51K Followers

36 Following

E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile Photo

Papa Leo XIV aliyechaguliwa jana amewahi kufika hapa Tanzania mwaka 2004. On air Cc Dina Marios | Roman Shirima #JioniYaLeo

E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile Photo

Msimu huu Barcelona wameifunga Real Madrid Jumla ya Goli 16 katika mashindano yote. Barcelona wamefikisha Goli hizi leo Baada ya ushindi wa Bao 4 : 3 katika mechi ya El Classico Ipi hatma ya Kocha Carlo Ancelotti katika kikosi cha Real Madrid!? #edigitalupdates

Msimu huu Barcelona wameifunga Real Madrid Jumla ya Goli 16 katika mashindano yote.

Barcelona wamefikisha Goli hizi leo Baada ya ushindi wa Bao 4 : 3 katika mechi ya El Classico

Ipi hatma ya Kocha Carlo Ancelotti katika kikosi cha Real Madrid!?

#edigitalupdates
E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile Photo

Unahisi ni habari gani hii imemshtua Mr Magazine!? #JotoLaAsubuhi Tupo live pia kwenye youtube channel yetu EFM TANZANIA hadi saa tatu kamili asubuhi.

Unahisi ni habari gani hii imemshtua Mr Magazine!?
  
#JotoLaAsubuhi Tupo live pia kwenye youtube channel yetu EFM TANZANIA hadi saa tatu kamili asubuhi.
E Digital (@efmtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa EFM & TVE Majizzo amempongeza msanii SIMBA..!🦁 kwa show yake huko London Uingereza iliyojaza katika ukumbi wa Royal Albert Hall. #edigitalupdates

Mkurugenzi Mtendaji wa EFM &amp; TVE <a href="/officialmajizzo/">Majizzo</a> amempongeza msanii <a href="/diamondplatnumz/">SIMBA..!🦁</a> kwa show yake huko London Uingereza iliyojaza katika ukumbi wa Royal Albert Hall.

#edigitalupdates