KKKT yaendesha warsha ya kutathimini mfumo na muundo wa utekelezaji wa mradi wa kuwezesha jamii kukabilia na mabadiliko ya Tabianchi. Warsha hiyo imefanyika katika kituo cha Nyakato kinachomilikiwa na KKKT Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria (Mwanza)...
instagram.com/p/DHDyIlWt_Bg/…
Mkurugenzi wa Leipzig Mission Mchungaji Annette Kaletttka kutoka Ujerumani atembelea Makao Makuu ya KKKT jijini Arusha na kukutana na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti. Ugeni huo umejadili masuala mbalimbali ikiwa ni katika kuboresha ushirikiano uliopo...
facebook.com/share/p/1A4qBh…
Halmashauri Kuu ya KKKT ikiongozwa na Mwenyekiti wake Askofu Dkt. Alex Malasusa yachangia Tsh 10 Milioni kwa ajili ya uboreshaji wa miundo mbinu kwenye kituo cha Kanisa cha Lutheran Junior Seminary ikiwa ni sehemu ya kukiwezesha kituo hicho cha Kanisa...
facebook.com/share/p/18p4is…
Katika kuadhimisha siku ya KKKT ambayo hufanyika kila mwaka mwezi Juni. KKKT itafanya maadhimisho hayo kwa kuwa na "KKKT Marathon" ikiwa na kauli mbiu "kimbia kwa moyo, saidi kwa upendo"
Bofya link ili kujisajili
kkktmarathon.elct.or.tz
#kkktmarathon2025
#saidiakwaupendo
Mkuu wa Kanisa (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa akizungumza kuhusu "KKKT Marathon 2025" yenye kauli mbiu "kimbia kwa moyo, saidia kwa upendo" inayotarajiwa kufanyika jijini Arusha tarehe 21 Juni 2025.
Askofu Charles Mjema wa KKKT-Dayosisi ya Pare akizungumza kuhusu "KKKT Marathon 2025" yenye kauli mbiu "kimbia kwa moyo, saidia kwa upendo" inayotarajiwa kufanyika jijini Arusha tarehe 21 Juni 2025.
Askofu Dkt. Godson Abel Mollel wa KKKT-Dayosisi ya Kaskasini Kati akizungumza kuhusu "KKKT Marathon 2025" yenye kauli mbiu "kimbia kwa moyo, saidia kwa upendo" inayotarajiwa kufanyika jijini Arusha tarehe 21 Juni 2025.
#kkktmarathon2025
#saidiakwaupendo
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limewakutanisha Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, ambao ni waumini wa Kanisa hilo na kuwaeleza nia ya kuwepo na umoja wao, ili kulisaidia Kanisa hasa katika masuala ya TEHEMA...
facebook.com/share/p/16Vkg7…