Emmanuel Matano
@emmanuelmatano4
ID: 1145030146711334912
29-06-2019 18:03:55
1,1K Tweet
91 Followers
188 Following
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Ni siku nyingine njema na maridadi ambayo Mungu ameifanya tufurahi ndani yake. Nahodha wako Emmanuel Matano nishawasili mjengoni Radio Ashe kukuandalia show bab'kubwa #AsheBreakfast. Unatune in ukiwa wapi?
Radio Ashe Emmanuel Matano Sang'alo Namwacha Bungoma county #AsheBreakfast
Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Ni siku ya Ijumaa na siku ya mwisho ya mwezi wa Oktoba. Karibu tumshukuru Mungu kwa wema wake kwenye mpango mzima #AsheBreakfast na Emmanuel Matano Radio Ashe . Unasikiliza ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
'#TanzaniaGizani' Karibu kwenye Upekuzi #Magazetini katika awamu ya 1 ya #AsheBreakfast na Emmanuel Matano Radio Ashe , Unategea ukiwa wapi?
#GumzoKomavu Kaparo(Laikipia) Demokrasia iko Afrika lakini haizingatiwi na sheria haifuatwi. Ni vigumu kuona uchaguzi ukiandaliwa bila kuwa na udanganyifu Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast official Riziki Jonathan Tinga Nyaejr7
#GumzoKomavu Pst Pariyo(Baringo) Mataifa ya bara Afrika yako katika viwango tofauti tofauti. Kuna mataifa yanafanya vizuri ilhali mengine hali ya demokrasia iko chini sana Emmanuel Matano Radio Ashe Jonathan Tinga Nyaejr7 official Riziki #AsheBreakfast
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Ni wakati wa kumsifu Bwana Kwa namna ya kipekee kwenye mpango mzima #YouthAblaze ukiwa nami Emmanuel Matano Radio Ashe , Unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
#Samburugirlsfoundation Dr. Josephine kulea HSC asimulia jinsi alivyoanzisha mchakato wa kuwaokoa wasichana katika kaunti ya Samburu kutokana na ndoa za mapema #EndChildMarriage
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Happy New Week! Umeamkaje? Karibu tuianze wiki kwa baraka kwenye mpango bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami Emmanuel Matano Radio Ashe , Unacheck in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
#Np Baba wa mbinguni by #Espoir kwenye #Devotionhour na Emmanuel Matano Radio Ashe #Tumainilauzima
Fahamu yaliyogonga vichwa vya habari kwenye Upekuzi #Magazetini katika awamu ya 1 ya #AsheBreakfast na Emmanuel Matano Radio Ashe , Unatune ukiwa wapi?
#Mjadala Noel( #ElgeyoMarakwet) Sisi wanadamu tumekuwa waharibifu na mwisho wa siku inatuletea madhara. Tumekata misitu na kulima kwenye sehemu ambazo haifai na ndiposa tunashuhudia madhara Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Tobelmoi(Elgeyo Marakwet) Ni vizuri wananchi tuchukue tahadhari kwasababu sio mara ya kwanza kwa maporomoko ya ardhi kufanyika katika Elgeyo Marakwet Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Kumekucha ni Siku njema ambayo Mungu ameifanya tufurahi ndani yake. Safari ya #AsheBreakfast imeng'oa nanga na kwenye usukani ni Emmanuel Matano Radio Ashe .Unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
#Np Lwanda ni Yesu by Timothy Kitui ft Ali Mukhwana kwenye round 1 ya #AsheBreakfast na Emmanuel Matano Radio Ashe #Tumainilauzima
#Mjadala Hilary(Iten) Ukweli ni kuwa hizi fedha zinazodaiwa kupotea kwa ghost students kuna watu katika wizara ya elimu ambao wanaufahamu huu mchezo Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Wilson(Turkana) Serikali iache kutufumba macho kama wakenya. Kama fedha za capitation zilipotea, tunataka kuona hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi ya wahusika Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Tobelmoi(Elgeyo Marakwet) Huu ufichuzi unaashiria jinsi ufisadi ulivyokita mizizi humu nchini. Taifa hili haliwezi kusonga mbele kimaendeleo iwapo sisi wakenya hatuwacha ufisadi Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Kaparo(Laikipia) Nampongeza sana waziri wa elimu Julius Migos kwa kufichua siri hii ya ufisadi katika wizara ya elimu. Sasa achukue hatua, waliohusika wawajibishwe kwa mujibu wa sheria Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast