
Evans Bukuku
@evansbukuku
Standup Comedian, Radio & TV Personality, MC & Entrepreneur, but my greatest passion is innovation. My tweets, purely personal.
ID: 387634738
http://www.punchline.or.tz 09-10-2011 12:04:54
1,1K Tweet
7,7K Followers
1,1K Following

Kenya kuondoa posho kwa wabunge wa bunge lijalo je Tanzania nasi ni wakati Sasa wa kukata baadhi ya posho kwa wabunge wetu? Cc @evansbukuku @clugoe Robert Mongi




Umewahi kununua bidhaa ya wizi, tuambie ilikuwaje? #SupaBreakfast #EastAfricaRadio Robert Mongi Evans Bukuku chris lugoe









#MICHEZO Klabu ya soka ya wanawake ya Simba Queens Tanzania imeshinda ubingwa wa michuano ya vilabu Afrika Mashariki na Kati CECAFA kwa kuichapa She Coorporates ya Uganda na kufuzu kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika 2022/23 ikiwakilisha kanda ya CECAFA. #SimbaQueens #CECAFA






Chris ni Masterpiece wa Voiceover Tz. Brother chris lugoe I wanna learn from you ๐๐พ๐๐พ๐๐พ cc: Evans Bukuku

Ni kweli tumeshindwa kudhibiti Panya Road ? Tupe maoni yako yatasomwa kwenye #SupaBreakfast ya #EastAfricaRadio Cc East Africa Radio Robert Mongi Cecilia Lugoe Evans Bukuku


Una maoni gani juu ya utaratibu uliotumika kwa viongozi wa Afrika kupanda basi katika msiba wa Malkia Elizabeth II #SupaBreakfast #EastAfricaRadio Robert Mongi Evans Bukuku chris lugoe
