THE DON (@fighter545888) 's Twitter Profile
THE DON

@fighter545888

๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

ID: 1802008331193659392

calendar_today15-06-2024 16:01:10

78 Tweet

6 Followers

92 Following

Myunani (@maxtz255_) 's Twitter Profile Photo

Leo TBT yetu tunaishi na mkasa uliowahi kumkuta Mwana Mmoja Mpwa ๐Ÿคซ sio Mwingine Ni Roma #NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ daah pole sana mzee. SHUKA NA UZI MZIMA ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Usiache Kuretweet na kunifollow

Leo TBT yetu tunaishi na mkasa uliowahi kumkuta Mwana Mmoja Mpwa ๐Ÿคซ sio Mwingine Ni Roma <a href="/Roma_Mkatoliki/">#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’</a>  daah pole sana mzee.
SHUKA NA UZI MZIMA ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Usiache Kuretweet na kunifollow
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

All is well. Ndugu yetu SATIVA17 anaendelea vizuri kiasi. Kuna maumivu katika taya na kichwa. Kesho, inshรขโ€™Allah atakuwa Dar es Salaam kuanza matibabu ya msingi. Updates zote nitawapa kuanzia asubuhi, na tutakwenda Airport (JNIA) kumpokea. Mwaisa, atasafiri kwa Air Ambulance ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

All is well. Ndugu yetu <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> anaendelea vizuri kiasi. Kuna maumivu katika taya na kichwa. Kesho, inshรขโ€™Allah atakuwa Dar es Salaam kuanza matibabu ya msingi. Updates zote nitawapa kuanzia asubuhi, na tutakwenda Airport (JNIA) kumpokea. Mwaisa, atasafiri kwa Air Ambulance ๐Ÿ’ช๐Ÿพ
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Week nyingine tunaamka bado hatujui alipo CHAULA. Kama unaiona taarifa hii naomba urepost. Vijana kwasasa hatupo salama, kuchukulia poa haya matukio ni kujichimbi kaburi mwenyewe. Maana siku yoyote yatakukuta, wewe au ndugu yako au jirani yako na sisi tutakuangalia tuu Repost

Week nyingine tunaamka bado hatujui alipo CHAULA.

Kama unaiona taarifa hii naomba urepost.

Vijana kwasasa hatupo salama, kuchukulia poa haya matukio ni kujichimbi kaburi mwenyewe.

Maana siku yoyote yatakukuta, wewe au ndugu yako au jirani yako na sisi tutakuangalia tuu

Repost
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

Hatimae BACK BENCHA tumefikiwa dakika za jiooniiiiiiiiii Really appreciate EastAfricaTV BACK BENCHA ngoja wapate ujumbe hakuna kukata TAMAA.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Nchi inawezaje kuwa na uhifadhi wakati unawahamisha watu kutoka kwenye ardhi yao bila fidia, bila kushirikisha wala kujali maisha wanapokwenda? Hoja ya uhifadhi imetoka wapi kama miaka yote Maasai wapo na hakuna ushahidi wa kisayansi wanaharibu mazingira? #MariaSpaces #KatibaMpya

Nchi inawezaje kuwa na uhifadhi wakati unawahamisha watu kutoka kwenye ardhi yao bila fidia, bila kushirikisha wala kujali maisha wanapokwenda? Hoja ya uhifadhi imetoka wapi kama miaka yote Maasai wapo na hakuna ushahidi wa kisayansi wanaharibu mazingira? #MariaSpaces #KatibaMpya