
Frederick Muitiriri
@fredmuitiriri
News Anchor|Editor-NTV
#AJEA2023 Winner
Ex-Head of Newsroom-Switch TV
Ex-Deputy Editorial Drctr-TV47
Ex-Sports Editor-Inooro TV
Ex-Police Officer
Ex-Radio Guy
ID: 2201257314
https://www.tiktok.com/@muitiririfred?_t=8abzq0Gz5Dp&_r=1 18-11-2013 12:49:51
73,73K Tweet
9,9K Followers
1,1K Following

"Walianza kunipiga na chuma, walikuwa wananinyonga..." Rais wa baraza la wanafunzi chuo cha KSL, Joshua Okayo, asimulia alivyotekwa na kupigwa kwa zaidi ya saa 48 kwa kushiriki maandamano ya Mswada wa Fedha wa 2024. #SimuliziYaJoshuaOkayo Frederick Muitiriri

Mmiliki wa kampuni hii ni nabii David Maina, wa kanisa la Yahweh’s Evangelistic Revival Ministries lililoko OTC katikati mwa jiji la Nairobi. #MadhabahuYakamari #NTVJioni Nicholas Wambua Frederick Muitiriri

Uchezaji huu huanza kwa hela za kiasi cha chini sana...ila huendelea na kufikia maelfu ya pesa. Huwa hakuna mshindi kwa kila mchezo unaochezwa #MadhabahuYakamari #NTVJioni Nicholas Wambua Frederick Muitiriri


Kinachoshangaza ni kuwa katika wizi huu, nabii David Maina anawaombea wafanyakazi wake wawe na mavuno ya kutosha. #MadhabahuYakamari #NTVJioni Nicholas Wambua Frederick Muitiriri

Ruth Wanjiku (Aliyelaghaiwa): Mimi nilikuwa nimerushiwa 5k na mzee. Alikuwa ametumiwa na mtu fulani ju nilikuwa mgonjwa. Saa nilikuwa na 5k kwa simu. Ndio nikaanza kucheza. #MadhabahuYakamari #NTVJioni Nicholas Wambua Frederick Muitiriri

NTV Kenya Nicholas Wambua Frederick Muitiriri I have watched with dismay how a man of clothe can even pray to God for theft to be successful, and it turns out the prayers are answered when one can deposit 10 shillings and in less than an hour 7k is gone. I appreciate the good work done iam enlightened kudos aghakhan hq


Ibrahim Karanja. and Frederick Muitiriri made attempts to reach out to Prophet David Maina for an interview, to give him his right of reply regarding the fraud allegations #SacredSwindle #NTVWeekendEdition



Ripoti Ya Upasuaji Wa Mwili Wa Ojwang' Faith Odhiambo, LSK President: Albert Ojwang’ was tortured and brutally murdered in police custody. We want every single officer held accountable. We don’t want excuses from IPOA. #NTVAdhuhuri Frederick Muitiriri







