fridaamani EAGLE🦅…. (@fridaamani) 's Twitter Profile
fridaamani EAGLE🦅….

@fridaamani

rapper/presenter. God believer ,God has brought me laughter. This is me Frida amani the great

ID: 3238826601

linkhttps://youtu.be/xeLBl-6ArO8 calendar_today06-05-2015 13:10:47

5,5K Tweet

15,15K Followers

171 Following

fridaamani EAGLE🦅…. (@fridaamani) 's Twitter Profile Photo

Hip hop Asili festival inahitaji kuendelea kupewa sapoti kubwa sana ni platform ambayo tunayo sasa inayo celebrate HIP HOP east africa had a great time last night kwenye show Tasuba Bagamoyo me and the Band ni vibe always

Uvivu nao inabidi ifike pahala uachane nao like punguza uvivuuu Itakusaidia halafu pia jitahidi kuwa unajiwekea viwango vya vitu vyako ili vilete matokeo