Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile
Gift Kimaro

@giftkimaro7

Accountant | Entrepreneur | Social Media Influencer| Yangasc

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu πŸ’ͺπŸ’ͺ

ID: 929275584227799040

calendar_today11-11-2017 09:12:19

32,32K Tweet

7,7K Followers

2,2K Following

𝕡𝖆𝖒𝖆𝖆 π•Έπ–šπ–šπ–Ÿπ–† π•―π–†π–œπ–† (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia WANANCHI wanaoishi Kata ya Nduruma Halmashauri ya Arusha DC wameushukuru Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga barabara ya Malalua -Nduruma yenye urefu wa kilomita 28 yenye thamani ya Sh bilioni 30.8. #mamayukokazini #mamaanafanikisha

#TikiKwaSamia

WANANCHI wanaoishi Kata ya Nduruma Halmashauri ya Arusha DC wameushukuru Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga barabara ya Malalua -Nduruma yenye urefu wa kilomita 28 yenye thamani ya Sh bilioni 30.8.

#mamayukokazini
#mamaanafanikisha
Eric (@ericmaswi) 's Twitter Profile Photo

Ongezeko la makusanyo ni kuongezeka kwa uwezo wa serikali kuwahudumia wananchi wake #MamaYukoKazini #TanzaniYaSamia #TikiKwaSamia

Ongezeko la makusanyo ni kuongezeka kwa uwezo wa serikali kuwahudumia wananchi wake

#MamaYukoKazini 
#TanzaniYaSamia
#TikiKwaSamia
MindyourMind (@mindyourmindtz) 's Twitter Profile Photo

Kipindi naanza chuo maisha yangu yalikuwa magumu sana sikuwa na boom baada ya kukosa mkopo. Marafiki zangu walifanikiwa kupata mkopo waliishi kwa raha wakila bata kila weekend. Mwanzoni niliteseka lakini nilikujazoea na kuziona fursa kupitia wao.

Kipindi naanza chuo maisha yangu yalikuwa magumu sana sikuwa na boom baada ya kukosa mkopo. Marafiki zangu walifanikiwa kupata mkopo waliishi kwa raha wakila bata kila weekend.

Mwanzoni niliteseka lakini nilikujazoea na kuziona fursa kupitia wao.
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kutoa msamaha kwa wananchi wasio na uwezo wa kugharamia matibabu ambapo wagonjwa 3,321 walipatiwa msamaha wa matibabu wenye thamani ya shilingi bilioni 2.73. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #TanzaniaYaSamia

Serikali kupitia Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kutoa msamaha kwa wananchi wasio na uwezo wa kugharamia matibabu ambapo wagonjwa 3,321 walipatiwa msamaha wa matibabu wenye thamani ya shilingi bilioni 2.73.

#MamaYukoKazini 
#TikiKwaSamia 
#TanzaniaYaSamia
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais Samia atunukiwa tuzo ya Afrika kwa mageuzi makubwa na maendeleo ya kijamii mamayukokazini.com/2025/07/09/mhe… #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi

Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa Singida umekuwa na ongezeko la vituo vya Afya Kutoka vituo 203 mwaka 2020/21 Hadi kufikia vituo 302 mwaka 2024/25 Kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Hospitali. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini

Mkoa wa Singida umekuwa na ongezeko la vituo vya Afya Kutoka vituo 203 mwaka 2020/21 Hadi kufikia vituo 302 mwaka 2024/25 Kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Hospitali.

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia 
#MamaYukoKazini
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

UJENZI WA MUHAS KAMPASI YA KIGOMA Shilingi bilioni 26 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kampasi ya Kigoma. #TanzaniaYaSamia #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia

UJENZI WA MUHAS KAMPASI YA KIGOMA

Shilingi bilioni 26 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kampasi ya Kigoma.

#TanzaniaYaSamia
#MamaYukoKazini 
#TikiKwaSamia
MindyourMind (@mindyourmindtz) 's Twitter Profile Photo

Nilipofikisha miaka 22 nikiwa bado nilipata mtoto. Mzazi mwenzangu ambaye alikuwa akifanya kazi alinikana licha ya ahadi zote tulizowekeana. Niliumia sana, nikajipa moyo Mungu ana makusudi yake. Sikuwataarifu wazazi wangu kwa kuwa nilihisi watachukizwa.

Nilipofikisha miaka 22 nikiwa bado nilipata mtoto. Mzazi mwenzangu ambaye alikuwa akifanya kazi alinikana licha ya ahadi zote tulizowekeana. 

Niliumia sana, nikajipa moyo Mungu ana makusudi yake. Sikuwataarifu wazazi wangu kwa kuwa nilihisi watachukizwa.
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Serikali inaendelea na ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko wenye thamani ya Shilingi bilioni 279.5 ambao umefikia asilimia 81.9. Ajira 30,000 zitazalishwa. #TikiKwaSamia #MamaYukokazini #MamaAnafanikisha

Serikali inaendelea na ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko wenye thamani ya Shilingi bilioni 279.5 ambao umefikia asilimia 81.9. 

Ajira 30,000 zitazalishwa.

#TikiKwaSamia 
#MamaYukokazini 
#MamaAnafanikisha
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Wakati wengine wakiwahi wanakokwenda, wengine wananufaika na ajira za kuwahudumia. Kwa ujumla, sote tunanufaika na uwekezaji wetu. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Wakati wengine wakiwahi wanakokwenda, wengine wananufaika na ajira za kuwahudumia.

Kwa ujumla, sote tunanufaika na uwekezaji wetu.

#TikiKwaSamia 
#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Kwa kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, Mama ameongeza ari ya kazi, uzalendo na huduma bora kwa wananchi. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Huu ni uthibitisho mwingine wa dhamira yake ya kweli ya kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Huu ni uthibitisho mwingine wa dhamira yake ya kweli ya kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati.

#TikiKwaSamia 
#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili. 

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
Tanzania Media Women (@tamwa_) 's Twitter Profile Photo

β€œTAMWA imechangia kufikia lengo namba 3 la Maendeleo Endelevu kwa kutoa mafunzo kwa wanahabari na kuhakikisha usawa wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wadogo β€œ Meneja Mipango kutoka TAMWA, Sylivia Daulinge. #AfyaYaUzazi #TAMWA

β€œTAMWA imechangia kufikia lengo namba 3 la Maendeleo Endelevu kwa kutoa mafunzo kwa wanahabari na kuhakikisha usawa wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wadogo β€œ Meneja Mipango kutoka TAMWA, Sylivia Daulinge. #AfyaYaUzazi #TAMWA
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imenufaika na dola za Marekani bilioni 4.79 kupitia ushirikiano wa Twiga na Kampuni ya Barrick, ambao unatimiza miaka mitano. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia

Tanzania imenufaika na dola za Marekani bilioni 4.79 kupitia ushirikiano wa Twiga na Kampuni ya Barrick, ambao unatimiza miaka mitano.

#MamaYukoKazini 
#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Serikali inapanga kuongeza uwezo wa uzalishaji umeme katika kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi cha Kinyerezi kutoka megawati 600 hadi megawati 1,000. #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha #TikiKwaSamia

Serikali inapanga kuongeza uwezo wa uzalishaji umeme katika kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi cha Kinyerezi kutoka megawati 600 hadi megawati 1,000.

#MamaYukoKazini
#MamaAnafanikisha 
#TikiKwaSamia
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI 12,300 KUNUFAIKA NA UJENZI WA KITUO CHA AFYA WANGING'OMBE Wilaya wanging'ombe imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya amabcho kitawezesha wananchi kupata huduma za afya karibu na makazi yao. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia

WANANCHI 12,300 KUNUFAIKA NA UJENZI WA KITUO CHA AFYA WANGING'OMBE

Wilaya wanging'ombe imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya amabcho kitawezesha wananchi kupata huduma za afya karibu na makazi yao.

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya wakazi 1,500 wanaoishi mtaa wa Sinani na Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wanufaika na mradi wa maji uliyogharimu zaidi ya Shilingi milioni 20. #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha #TikiKwaSamia

Zaidi ya wakazi 1,500 wanaoishi mtaa wa Sinani na Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wanufaika na mradi wa maji uliyogharimu zaidi ya Shilingi milioni 20. 

#MamaYukoKazini 
#MamaAnafanikisha
#TikiKwaSamia