Gilbert Mulanda (@gilbertmul88080) 's Twitter Profile
Gilbert Mulanda

@gilbertmul88080

ID: 1640677592561795073

calendar_today28-03-2023 11:30:40

5,5K Tweet

391 Followers

450 Following

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Ni Declaration Tuesday, declare a thing and it shall be established, umeamkaje? Karibu sana kwa morning glory, nuru ikuangazie kabisa! A very good morning to you Mwana Ligi, twende naloo! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

#Neno...NENO LA BWANA HALINYAUKI! ISAYA 40:6-8....Neno la Mungu linaweza tegemewa maana hakuna siku litaisha nguvu, halitanyauka, heri mtu ambaye amejua siri ya neno la Mungu, maisha yake hayatanyauka sababu yamejaa nguvu za neno la Mungu. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili

#Neno...NENO LA BWANA HALINYAUKI! ISAYA 40:6-8....Neno la Mungu linaweza tegemewa maana hakuna siku litaisha nguvu, halitanyauka, heri mtu ambaye amejua siri ya neno la Mungu, maisha yake hayatanyauka sababu yamejaa nguvu za neno la Mungu. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

#Neno...NENO LA BWANA HALINYAUKI! ISAIYA 40:6-8....Neno la Mungu linaweza tegemewa maana hakuna siku litaisha nguvu, heri mtu ambaye amejua siri ya neno la Mungu, maisha yake hayatanyauka! Tamani hili neno kila wakati na ukae ndani yake.. Tukutane Galilaya! #nurunaevahmwalili

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

When you carry God you carry everything, I'm a child of the King my Father owns the world, I carry glory πŸ™ŒπŸ™Œ. Jimmy Johnson @Emmasings Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #NuruNaEvahMwalili #NuruNaEvahMwalili

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Jumapili njema πŸ™ Siku ya baraka na nafasi ya kushiriki pamoja, tukimsifu Mwenyezi Mungu na kumega mkate wa uzima pamoja. Karibu tushiriki pamoja ndani ya #PambazukaJumapili hapa PGC na Sally Mbeyu

Jumapili njema πŸ™
Siku ya baraka na nafasi ya kushiriki pamoja, tukimsifu Mwenyezi Mungu na kumega mkate wa uzima pamoja.

Karibu tushiriki pamoja ndani ya #PambazukaJumapili hapa PGC na Sally Mbeyu
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Karibisho la Ibada... Unahudhuria ibada ya saa ngapi na wapi? Wanakwaya, leo uniform ni gani? Unaimba sauti gani? Celebrating our choirs!

Karibisho la Ibada...

Unahudhuria ibada ya saa ngapi na wapi? Wanakwaya, leo uniform ni gani? Unaimba sauti gani? Celebrating our choirs!
Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Karibisho la Ibada.... Unahudhuria ibada ya saa ngapi na wapi? Wanakwaya, leo uniform ni gani? Unaimba sauti gani? Celebrating our choirs! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nuru47jumapili #nuru47jumapili

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Because it's Friday πŸ’ƒ #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Umeamkaje hapo Mwana Ligi? Good morning 🌞. Ni Himizo Friday, vifungo vya adui vinaanguka, no more limitations in Jesus Name! Karibu kwa morning glory, hapa ndipo! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili

Umeamkaje hapo Mwana Ligi? Good morning 🌞. Ni Himizo Friday, vifungo vya adui vinaanguka, no more limitations in Jesus Name! Karibu kwa morning glory, hapa ndipo! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Karibisho la Ibada.. Leo unahudhuria service wapi, mchungaji hapo anaitwaje? Kwa mapigo ya Yesu msalabani tumepata uponyaji, tunatuma neno la uponyaji kwa wagonjwa wote..Amina. Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda #Nuru47Jumapili #HapaNdipo

Karibisho la Ibada..

Leo unahudhuria service wapi, mchungaji hapo anaitwaje? Kwa mapigo ya Yesu msalabani tumepata uponyaji, tunatuma neno la uponyaji kwa wagonjwa wote..Amina.
Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo
Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

#Neno....USICHOKE BURE, TAFUTA WASAIDIZI. Kutoka 18:13-26... Kubali hali ilivyo, kubali kwamba huwezi pekee na uitishe usaidizi, usijichoshe bure, usibebe mizigo ambayo hufai kubeba ili upendeze watu, saidiwa!! Tukutane Galilaya! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nuru47jumapili