Gilead Teri (@gileadteri) 's Twitter Profile
Gilead Teri

@gileadteri

Executive Director - Tanzania Investment Centre | Awarded Africa's BEST investment destination 2024 | [email protected]

ID: 521613428

calendar_today11-03-2012 19:47:53

9,9K Tweet

9,9K Followers

7,7K Following

Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo, tarehe 9 Juni 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri, ametangaza mafanikio ya uwekezaji katika usajili wa miradi kwa kipindi cha Januari hadi Mei 2025. Bw. Teri ameeleza mafanikio haya katika mkutano wa waandishi wa habari

Mapema leo, tarehe 9 Juni 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri, ametangaza mafanikio ya uwekezaji katika usajili wa miradi kwa kipindi cha Januari hadi Mei 2025.

Bw. Teri ameeleza mafanikio haya katika mkutano wa waandishi wa habari
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Taasisi ya Benjamin Mkapa wameingia makubaliano ya ushirikiano wa pamoja kwa kuimarisha na kukuza uwekezaji katika sekta ya afya nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri, amesema kuwa BMF imekuwa na mchango mkubwa katika kuboresha

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Taasisi ya Benjamin Mkapa wameingia makubaliano ya ushirikiano wa pamoja kwa kuimarisha na kukuza uwekezaji katika sekta ya afya nchini. 

Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri, amesema  kuwa BMF imekuwa na mchango mkubwa katika kuboresha
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam ▪️TIC NA TAASISI YA BENJAMIN MKAPA WAINGIA MAKUBALIANO UWEKEZAJI SEKTA YA AFYA Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi ya Benjamin Mkapa wameingia makubaliano ya ushirikiano wa pamoja kwa kuimarisha na kukuza uwekezaji katika sekta ya afya nchini.

📍Dar es Salaam

▪️TIC NA TAASISI YA BENJAMIN MKAPA WAINGIA MAKUBALIANO UWEKEZAJI SEKTA YA AFYA

Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi ya Benjamin Mkapa wameingia makubaliano ya ushirikiano wa pamoja kwa kuimarisha na kukuza uwekezaji katika sekta ya afya nchini.
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria ufunguzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawashukuru sana Simiyu. Mwenyezi Mungu awajaalie baraka na neema, mwendelee kuyaona na kunufaika na matunda ya kazi za uongozi wa nchi yenu. Ahsanteni sana.

Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead Teri, amekutana na Mkurugenzi wa Benki ya Teknolojia ya Umoja wa Mataifa (UN Technology Bank), Bw. Deodat Maharaj, katika kikao kilicholenga kujadili ushirikiano wa kimkakati katika kuhamasisha na

The Tanzania Investment Centre (TIC), in collaboration with the Tanzania High Commission in India and Marketing Assistance and Research Support (MARS), invites you to the Tanzania - India Business Forum, taking place from 13th to 20th July 2025 in Dar es Salaam and Zanzibar.

The Tanzania Investment Centre (TIC), in collaboration with the Tanzania High Commission in India  and Marketing Assistance and Research Support (MARS), invites you to the Tanzania - India Business Forum, taking place from 13th to 20th  July 2025 in Dar es Salaam and Zanzibar.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kazi kubwa tuliyoifanya kwa miaka minne ya kuboresha sera, sheria na kuvutia uwekezaji nchini imeendelea kuleta matokeo chanya ambapo leo nimeungana na kaka yangu, Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye katika uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha mbolea,

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma 🗓️ 28.06.2025 Mapema leo kwenye Uzinduzi wa Kiwanda Cha Mbolea Itracom,ambapo mgeni rasmi alikua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Meja Jenerali (Mst) Evariste Ndayishimiye. Kiwanda cha ITRACOM

📍Dodoma
🗓️ 28.06.2025

Mapema leo kwenye Uzinduzi wa Kiwanda Cha Mbolea Itracom,ambapo mgeni rasmi alikua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na  Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Meja Jenerali (Mst) Evariste Ndayishimiye.

Kiwanda cha ITRACOM
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

JNIA BEST IN AFRICA Tanzania's Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam has been named Africa's Leading Airport at the 2025 World Travel Awards. JNIA scooped the award ahead of other renowned airports on the continent. Nominees included: 🇿🇦 Cape Town

JNIA BEST IN AFRICA 

Tanzania's Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam has been named Africa's Leading Airport at the 2025 World Travel Awards. 

JNIA scooped the award ahead of other renowned airports on the continent. Nominees included:

🇿🇦 Cape Town
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

ZANZIBAR BEST IN AFRICA Tanzania’s Zanzibar Island has been crowned Africa’s Leading Beach Destination at the 2025 World Travel Awards, solidifying its place among the world’s most iconic coastal escapes. Famed for its white sandy beaches, turquoise waters, luxury resorts, and

ZANZIBAR BEST IN AFRICA 

Tanzania’s Zanzibar Island has been crowned Africa’s Leading Beach Destination at the 2025 World Travel Awards, solidifying its place among the world’s most iconic coastal escapes.

Famed for its white sandy beaches, turquoise waters, luxury resorts, and
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango

Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Save the Date📍 Join us on July 15that the Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) in Dar es Salaam for the Tanzania - India Business Forum. This pivotal event is designed to bolster investment and partnership opportunities between Tanzania and India,

Save the Date📍

Join us on July 15that the Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) in Dar es Salaam for the Tanzania - India Business Forum. 

This pivotal event is designed to bolster investment and partnership opportunities between Tanzania and India,