Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile
Gillsant v10

@gillsaint

I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Co founder @punguzoapp social media course👇🏾

ID: 25074746

linkhttp://www.gillsant.com/punguzo calendar_today18-03-2009 13:52:31

95,95K Tweet

168,168K Followers

5,5K Following

Hustler👣 (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Gillsant v10 Nyongeza. Ukitaka usipate shida sana baada ya kupata Leads, Zingatia BANT. YAANI ✓ AUTHORITY YAKE ✓ NEEDS ZAKE ✓ BUDGET YAKE ✓ TIMELINE HII HAITAKUPOTEZEA MUDA KWA WALE WASIO NUNUA. ASANTE KWA HII NECST.

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Wayahudi wana utamaduni wa fargin — kusherekea mafanikio ya mwenzao bila wivu. Wanasaidiana kwa kununua bidhaa/kutoa huduma kwa wenzao. Mafanikio ya mmoja ni ushindi wa wote. Tunahitaji fargin kwenye jamii zetu pia.

Uncle Fafi (@tanganyikan) 's Twitter Profile Photo

Waafrika tuna kitu inaitwa Ubuntu tafsiri yake ni mtu anatokana watu waliomzunguka (a person is a person through other people), bahati mbaya ni makabila machache yanayofanya hii kitu.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Jana tulikuwa tunaongea mahali. Sijui kama ni Tanzania pekee, ila “black culture” sehemu nyingi nimeona duniani ni kutosaidiana, kuhujumiana, kuoneana wivu, kuumizana na mambo mengi. Ni wachache huwa wanavuka daraja la kuacha kuoneana wivu na kufanya juhudi pamoja kuinuana.

Dr.Julius AlmaS (@drkessyjulius1) 's Twitter Profile Photo

Jambo Hilo ni kweli kabisa ila sio Kwa watu weusi kama waafrica na watanzania Kwa ujumla,sisi tunapenda Ujinga Ujinga tu ila mambo ya Msingi hatupo kwakweli

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Nikikumbuka rafiki yangu alikua ananiambia tununue bitcoins at that time Ilikua bitcoin 1 ni $5 mwaka 2012.. Nilikua namuona kama kichaa 😮‍💨 1 Bitcoin Today Price

Nikikumbuka rafiki yangu alikua ananiambia tununue bitcoins at that time Ilikua bitcoin 1 ni $5 mwaka 2012.. Nilikua namuona kama kichaa 😮‍💨 1 Bitcoin Today Price
Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Tuseme una bajeti ya kutosha.. Na umepewa chance kuchagua mtu mmoja maarufu influencer au content creator akusaidie kuuza bidhaa yako au huduma yako.. Yupi au wapi ungewachagua? Na kama huna Biashara ni influencer gani una mkubali?