iamGee💕 (@gladnesg) 's Twitter Profile
iamGee💕

@gladnesg

To explain my self is alot of work plz judge me 😃 . #Godsavedme❤️ #Jesusgirl❤️

ID: 982427510855098368

calendar_today07-04-2018 01:19:05

23,23K Tweet

8,8K Followers

1,1K Following

I'M LIVING BLESSED (@officialdrherry) 's Twitter Profile Photo

Many of you are faced with different trials everyday and you even get to a point of asking yourself why God is allowing those difficult situations to take place in your life. I want you to understand that trials are faced by the strongest people. The reason you are going through

iamGee💕 (@gladnesg) 's Twitter Profile Photo

Nijalie unyenyekevu eeh Bwana wangu , Niondolee kiburi eeh Bwana wangu Nipe moyo wa zaburi eeh Bwana wangu Niondolee mashindano eeh Bwana wangu. Niumbie moyo safi eeh Bwana wangu Nikutumikie siku zote ❤️.

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

“Sisi watoto wa kike tunafarijika sana kuungana na wavulana kwenye mijadala ya pamoja juu ya kuboresha Afya zetu za Akili inatuongezea ujasiri wa kuzungumza.” - Rachael John, Alipozungumza kwenye Klabu ya #ElimikaWikiendi | #MindyourMind | #IWD2025

“Sisi watoto wa kike tunafarijika sana kuungana na wavulana kwenye mijadala ya pamoja juu ya kuboresha Afya zetu za Akili inatuongezea ujasiri wa kuzungumza.” - Rachael John, Alipozungumza kwenye Klabu ya #ElimikaWikiendi | #MindyourMind | #IWD2025
Classickizito (@classickizito) 's Twitter Profile Photo

Karibu kwenye #ElimikaWikiendi !!!🌿🌍 Unapenda safari, wanyama wa porini, na maajabu ya asili? Hii ni nafasi yako ya kujifunza zaidi kuhusu utalii, uhifadhi wa mazingira, na siri za dunia ya wanyama. Jiunge nasi ili kugundua fursa za utalii, kufurahia hadithi za kusisimua, na

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

𝗠𝗷𝗮𝘀𝗶𝗿𝗶𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 Unaponadi biashara yako usiishie kuonyesha bidhaa zile zile zilitumwa kwenye magroup ya WhatsApp, elezea ubora wake na kwanini wateja wako wainunue kuwa na uhalisia. #ElimikaWikiendi #Nikonekt

𝗠𝗷𝗮𝘀𝗶𝗿𝗶𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶

Unaponadi biashara yako usiishie kuonyesha bidhaa zile zile zilitumwa kwenye magroup ya WhatsApp, elezea ubora wake na kwanini wateja wako wainunue kuwa na uhalisia.

#ElimikaWikiendi #Nikonekt
Big Cuz (@imohumoren) 's Twitter Profile Photo

Sex is exaggerated and is not often worth all the hype and advertisements leading to it. The build up is in fact more exciting than the act itself.

iamGee💕 (@gladnesg) 's Twitter Profile Photo

Imagine dada yako/ ndugu yako ameachwa na watoto wawili na baby dady wake bila sababu yoyote . 🙌 Na waraka juu kuwa hatotoa pesa ya matumizi kwa mtoto yoyote 🥺”Dunia ina mitihani aisee”

iamGee💕 (@gladnesg) 's Twitter Profile Photo

Heri kulala njaa ila unalala nyumbani kwako kuliko kero za wenye nyumba 🥺🙌. Kigamboni mwenye nyumba ameuza nyumba bila kutuambia 🥹 alafu aliyenunua nyumba akapandisha kodi hutaki hama 🙌 .

iamGee💕 (@gladnesg) 's Twitter Profile Photo

From my childhood up-to my early 20’s i endured enough pain ya kusingiziwa 💔 . Yoo am still healing from the trauma 💔.