ChurchBoy✝️🇹🇿 (@glatuskivike) 's Twitter Profile
ChurchBoy✝️🇹🇿

@glatuskivike

Wafilipi 1:3-4
|Managing expert| |Je wajua! hakuna mkamilifu 💯% ni vile tunajaribu tu!? |🦁 @simbaSCTanzania|

ID: 1537068818991833088

linkhttp://wa.me/255656577689 calendar_today15-06-2022 13:46:04

40,40K Tweet

9,9K Followers

7,7K Following

kibaha_finest (@kibaha_finest) 's Twitter Profile Photo

JE ULISOMA INTEGRATION ? uki integrate majivuno unapata dharau Uki integrate mapenzi unapata chuki Uki integrate majivuno unapata dharau Uki integrate mateso kuzaliwa unapata kufa Uki integrate umalaya unapata UKIMWI Uki integrate chuki unapata uadui Je uko integrate SIASA????

Masaka Junior (@masakajunior1) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi njema wapendwa na iwe mwanzo wa siku yenye baraka, akili yenye utulivu, moyo uliojaa shukrani, na mafanikio katika kila unalolipanga leo..🙏

The major (@stanley45438379) 's Twitter Profile Photo

Normalize spending money on, staying fit, looking good, smelling nice, eating healthy, gaining knowledge. Money spent on self-development never goes to waste.

ChurchBoy✝️🇹🇿 (@glatuskivike) 's Twitter Profile Photo

Katika hali ya kuridhika na tamaa ya muda mfupi na watu wasio sahihi huwa tunawapuuza na kuyapuuza mahusiano yale tulio kuwa tukiyalilia siku zote. Ni katika hali hiyohiyo ambapo majuto huja baadae. ✍️