Dr. Godlove Mfuko (@godlovemfuko) 's Twitter Profile
Dr. Godlove Mfuko

@godlovemfuko

Specialist Ear, Nose, Throat, Head and Neck Surgeon @mamcmloganzila | Clinical Lecturer
| Entrepreneur | Philanthropist

ID: 975381252839755777

linkhttps://instagram.com/godlove_mfuko calendar_today18-03-2018 14:39:47

26 Tweet

452 Followers

8 Following

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Wagonjwa ndio sababu kuu ya sie madaktari kufanya kazi, tunapowatibu sio kwamba tunatoa msaada ila nyie ndio mnatoa msaada kwetu maana tusingekuwa na kitu cha kufanya. Tunashukuru kwa upendo na tunaomba radhi pale tulipokesea.

Kuwa na mkazo (stress) kwa muda mrefu kunaweza kumdhuru mtu kimwili na kisaikolojia hata kusababisha mtu kupata sonona/huzuni kuu (depression).

Kutibu sonona/kushuka moyo/huzuni kuu (depression): kula mlo kamili, fanya mazoezi, wasiliana & shirikiana vizuri na daktari wako, familia na jamii kiujumla.

Kitaalamu ugonjwa wa akili ni tatizo kubwa la akili linaloathiri uwezo wa mtu wa kufikiri, kudhibiti hisia na tabia. Mamilioni ya watu wana magonjwa ya akili, inasemekana mmoja kati ya watu wanne ataugua ugonjwa wa akili wakati fulani maishani.

"If you look at Sub-Saharan Africa, it has 24 percent of the world’s global burden of disease, and only 3 percent of the world's health care workforce with which to address that disease. That’s a huge disparity." ~> Seed Global Health's CEO @VBKerry

"If you look at Sub-Saharan Africa, it has 24 percent of the world’s global burden of disease, and only 3 percent of the world's health care workforce with which to address that disease. That’s a huge disparity." ~&gt; <a href="/Seed_Global/">Seed Global Health</a>'s CEO @VBKerry
Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Ugumba ni hali ya mwanaume au mwanamke kufanya ngono bila kinga yoyote kwa muda mrefu bila ya kuzaa licha ya kufikia umri wa kufanya hivyo. Inakadiliwa wanandoa 13 kati ya 100 wanashindwa kupata mtoto/watoto kwa tatizo la ugumba. #ElimikaWikiendi

Karibu robo tatu ya kesi zote za ugumba kwa wanandoa hutokea kwa wanaume. Mara nyingi tatizo huanzia sehemu ambapo shahawa (mbegu za kiume) hutengenezwa na jinsi mbegu hizo zinapotoka zinapotengenezwa hadi kufika kwenye uke na kukutana na yai la mwanamke. #ElimikaWikiendi

Mfumo wa uzazi wa mwanaume hutengeneza, huhifadhi na kusafirisha manii (mbegu za kiume) hadi mfumo wa uzazi wa mwanamke wakati wa ngono. Ubora wa mfumo huu hutegemea jeni, viwango vya homoni na mazingira ya ndani & nje kiujumla. #ElimikaWikiendi

Mfumo wa uzazi wa mwanaume hutengeneza, huhifadhi na kusafirisha manii (mbegu za kiume) hadi mfumo wa uzazi wa mwanamke wakati wa ngono. Ubora wa mfumo huu hutegemea jeni, viwango vya homoni na mazingira ya ndani &amp; nje kiujumla. #ElimikaWikiendi
Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Kiribatumbo kwa wanaume walio katika umri wa kuzalisha ni moja ya sababu kuu ya wanaume kushindwa kuzalisha. Uzito kupita kiasi huathiri ubora wa nguvu za kiume, huathiri umbo la mbegu na mfumo wa kimolekyuli. #ElimikaWikiendi

Matumizi ya vileo kama dawa za kulevya, pombe kupita kiasi, uvutaji tumbaku (sigara) huathiri hamu na uwezo wa mwanaume kuweza kusababisha mimba kwa mwanamke. Mfano uvutaji sigara hupunguza uwezo wa manii kuogelea kwenye mirija ya uzazi ya mwanamke kwa 20%. #ElimikaWikiendi

Uzito uliopitiliza unasababisha kuongezeka kwa mafuta kwenye mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo na uume kuwa midogo na kupungua uwezo wa kujamiana. Kupungua uwezo wa kufanya ngono kwa wanaume ni ishara mojawapo ya ugonjwa wa moyo na kiharusi (stroke). #ElimikaWikiendi

Uwiano wa Uzito na Urefu/Body Mass Index (BMI) ni njia nzuri ya kuangalia kama uzito wako upo katika afya njema. BMI hutumika kutathimini hali ya lishe ya mtu yeyote pamoja na mtu anayeishi na VVU & ni muhimu katika kugundua mapema baadhi ya matatizo ya afya. #ElimikaWikiendi

Uwiano wa Uzito na Urefu/Body Mass Index (BMI) ni njia nzuri ya kuangalia kama uzito wako upo katika afya njema. BMI hutumika kutathimini hali ya lishe ya mtu yeyote pamoja na mtu anayeishi na VVU &amp; ni muhimu katika kugundua mapema baadhi ya matatizo ya afya. #ElimikaWikiendi
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila (@mamcmloganzila) 's Twitter Profile Photo

Una tatizo la USAHA MASIKIONI? Jibu hili hapa youtu.be/ixBJeKd2GrE via YouTube Msikilize Daktari Bingwa wa Pua, Masikio na Koo Dr. Godlove Mfuko kutoka Hospitali ya Rufaa Mloganzila ( MAMC)

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila (@mamcmloganzila) 's Twitter Profile Photo

MEDICOUNTER- Je wajua kukoroma ni dalili za ugonjwa mkubwa zaidi? youtu.be/zJi0I3XsQEQ via YouTube Msikilize Daktari Bingwa wa upoasuaji wa Masikio, Pua, na Koo, Dr Dr. Godlove Mfuko kutoka Hospitali ya Mloganzila