Official Gogad (@gogad12) 's Twitter Profile
Official Gogad

@gogad12

Nayaweza Mambo yote katika yeye anitiaye Nguvu | CEO Light of Life stationary| Warehouse Manager | karibu tuinuane follow back yangu sio ya kunikumbusha ni chap

ID: 1371049257306841090

calendar_today14-03-2021 10:43:29

1,1K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Official Gogad (@gogad12) 's Twitter Profile Photo

We nanii kwahyo unapita tu m wanangu sio huoni hata pa ku like au umesahau kama kwako na repost na kukoment juu kwahyo kwangu aaaaaah, fresh mwenetu

Official Gogad (@gogad12) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wanaamini wakikufollow back wataishiwa nguvu za kiume sjui li mtu linashusha handle alaf ukifolo linakauka nao ni us*ng kmmk

wezzey (@kasimuabuu98) 's Twitter Profile Photo

2 million Won Yesterday ✅💸 Odds 7 Dbbet Won ✅ Odds 2 Paripesa ✅ Mikeka yetu tuliupost kwenye magroup na channel yetu ya wasap. Kujiunga na channel ya wasap channel yetu link kwenye bio. Au tuma text 0652071094 ELFUJEROOO…!!! ELFUJEROOO…!!!

2 million Won Yesterday ✅💸

Odds 7 Dbbet Won ✅
Odds 2 Paripesa ✅

Mikeka yetu tuliupost kwenye magroup na channel yetu ya wasap.

Kujiunga na channel ya wasap channel yetu link kwenye bio.

Au tuma text 0652071094

<a href="/bukujero_1500/">ELFUJEROOO…!!!</a> 
<a href="/bukujero_1500/">ELFUJEROOO…!!!</a>
Jane (@jayii22) 's Twitter Profile Photo

Sisi sote ni watofauti hakuna anayefanana na mwingine ,sisi sote ni wakipekee tupendane, Tuache kuamini kuwa tofauti zetu zinatufanya kuwa bora kuliko wengine.

Official Gogad (@gogad12) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda hupaswi kuwalaumu maadui kwasababu moyo wanaokutengenezea siku wakija kutaka kusamehewa ndio wataelewa walichokipika kama kiliva vzr

Official Gogad (@gogad12) 's Twitter Profile Photo

Mara ya mwisho kupenda mtoto mzuri kama huyu ilikuwa 2021 haya matoto mazuri yanajua kitu kimoja tu yana haki ya kuishi vzr anyway Arsenal Girl❤️ nakupenda mwana arsenal mwenzangu

Mara ya mwisho kupenda mtoto mzuri kama huyu ilikuwa 2021 haya matoto mazuri yanajua kitu kimoja tu yana haki ya kuishi vzr anyway <a href="/ArsenalGirlTz/">Arsenal Girl❤️</a> nakupenda mwana arsenal mwenzangu