Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile
Grayson Gideon

@gplanet5

Eastafrican(🇹🇿) radio producer and creative consultant @eastafricaradio | Host @madinidotcom| Tacaids & Unicef-Tanzania @ongearadioshow

ID: 807529762025570304

calendar_today10-12-2016 10:17:53

5,5K Tweet

1,1K Followers

11 Following

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Hivi kama MAJINA yalikuwepo kabla ya uwepo wa dini, kwanini lazima kubadili Jina unapobadili dini? Kwanini Dunia yote isiwe kama ndugu zetu NYANDA za juu, utakuta Mzee wa kanisa anaitwa MOHAMED (wanatamka Mwamedi) 🤣 #Kamjadala

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Sijui wangapi mtaelewa hii code: Wanaume 'KIASILI' tunaenjoy kwa 20% kuona na 80% kuimagine.Tatizo la siku hizi tunaoneshwa 80% na tuna imagine 20% ! Tunachokiita tatizo la nguvuZaKiume ni more Mentally kuliko 'baoloji_kale' ! #Kamjadala

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

UCHUNGUZI MPYA umegundua Jirani wa #JayMelody baada ya kuhama, alipata chumba opposite na #Mbosso Jina lake halisi ni MERI , hii MEJIJAAH ni Mbwembwe tu za Mhindi wa Kusini. Tumemhoji dalali wa Meri AMEFUNGUKA Mengi MSIYOYAJUA...!😄 #WetalkMusic

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Nimejiridhisha pasi na shaka, kwamba PLANETBONGO ya EastAfricaRadio kwa sasa ni show Bora na inayosikilizwa zaidi mchana ,TANZANIA. "Ni zaidi ya gold kwenye hizi mines.Yes I'm fine.Wapi Dili kubwa ni sign .what's up?😎 - #JohMakini

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

MSANII na MEDIA. Simply, Msanii anahitaji PROMO KALI, Media inahitaji CONTENT KALI. Ni mabadilishano ya hivyo 2 . Kipengele ni Kuna baadhi ya wasanii hudai PROMO kwa mabadilishano na NOTHING! Una story gani ya KUVUTIA unataka kupush na PROJECT yako? #WetalkMusic

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Hivi WatuWaMidia hatujamtafuta ROMA kwa wingi kwasababu anazosema KikombeKituepuke🤗😄 au nao walifocus na contents na kusahau Chorus/Hook Kali na Jina lenye art ? Ebu tujitetee! #WetalkMusic

Mnaosemaga "JOH siku hizi sio yule wa zamani" nilitegemea mjitokeze kwa post za🔥 🔥 🔥 kuhusu A CITY, Au mpaka aje 10 ZA MAANGAMIZI?😄🤣 #WetalkMusic

Trustory nimetoka Church,kila wiki wanatangaza wenye shida na magonjwa waje mbele, natamani Waite na wenye michongo ( kazi au kibarua) inayohitaji watu wenye sifa flani wanaoweza kupatikana Church.#TupeaneMichongoIbadani

TukiEkaSiasaKando, Wapigaji WAKUBWA serikalini wamewekeza biashara/Taasisi zilizoajiri watu(hata kama sio Mimi/wewe) , then tuna Hawa WENZETU KABISA wananunua bidhaa China Tsh.200 wanatuuzia 3000, ya 2k wanauza 27k na wengi zinaishiaga kwa familia zao! Mulika mwizi #KAMJADALA

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

"Hata Osama Bin Laden alikufa alikutwa akiwa na pembeni yake bibie - #Squeezer Hivi blaza alikuwa sahihi kutumia OSAMA kuhamasisha watu kuoa?Pili,OMMY DIMPOZ alifanya Nini cha kupewa Ft kwenye huu wimbo #Bachelor ? 😄 #WetalkMusic

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Nimeona TAMKO LA MKATOLIKI kuhusu MWANA WA SIMON .Huu mgogoro ni kama wa ISRAEL na PALESTINA ,chanzo ni mipaka ya Ardhi ya KASKAZINI kisanaa. MAWINGU KINGDOM (Ile REDIO) wanatajwa kusaidia kuanzishwa movement ya UKANDA ZIONISM😄😆#WetalkMusic

Trustory , Wanyapo Pori na Wa kufugwa unaweza kuelezea FOR SURE kwamba Majike Wana tabia hizi na DUME Wana tabia hizi.Usitumie hii idea kwa binadamu, UTAKUFA VIBAYA WEWE NAKUHURUMIA! #Kamjadala

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Trustory nimeona hii clip ya wanasiasa wakifanya DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI za kuchemsha😃 huku mhe Rais akionekana KUBURUDIKA kwa mdundo na mistari, Nika KONKLUDI sio kwamba hip-hop HAIUZI ila hip hop HAIUZWI ! #wetalkamusic

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Trustory Kuna shabiki kanicheki na HOJA yake ni WASANII WANAKOSEA SANA kujihusisha na siasa.Shida ikaja anaamini sio sawa FIDQ kujihusisha na siasa za CCM, lakini ni sawa ROMA kujihusisha na siasa za CDM! Kichwani nikamskia Khaligraph "Unanicomfyuuuz" I'm confused ! #WetalkMusic

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

Popote ukijikuta ni zamu yako kuunganisha 'blututh' tusikie test yako na unawaza uanze na ipi? gonga "Chichichichiii ah!...Bongofleva, bongobongo bongoflevaa ×2 MaraNyingineNajiulizaUnaUzuriWaNamnaGaniNaNashindwaPata jibuuu...." Hiki kibao ni jack of all trades🤗 #WetalkMusic

Grayson Gideon (@gplanet5) 's Twitter Profile Photo

SECTION C (Marks 45). 5.A) Kama wakati MITUNGI MIKASI -MaNgwea na wenzie inatoka ,Chai na Chapati ilikuwa bati (TSh.200).Kisia kilo ya Sukari na ngano iliuzwaje? B). Kama dereva alidai "Buku 4 tu" kwenda Masaki kwenye bonge la party.Kisia walipandia tax wapi? #Wetalkmusic