Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile
Green Samia

@greensamia_23

A  platform kept together by young people in Climate Action  supported by the Tanzania President's office

ID: 1713094412123672576

calendar_today14-10-2023 07:29:25

70 Tweet

257 Followers

229 Following

Catherine (@catherinemutta) 's Twitter Profile Photo

We are having fun and yet making an impact to our beautiful Planet💚🌳🌍 Yes Start them Young and watch them grow into it🌍 my little climate heroes 🫶 #sdg13 #sdg4

We are having fun and yet making an impact  to our beautiful Planet💚🌳🌍 Yes Start them Young and watch them grow into it🌍 my little climate heroes 🫶
#sdg13
#sdg4
Salma Iddy (@salmaiddy8) 's Twitter Profile Photo

Sisi kama Vijana wa Kitanzania tumedhamiria kuunga mkono Juhudi za Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan katika Upandaji Miti, Utoaji wa Elimu juu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na zaidi Utunzaji wa Mazingira yetu. Kwa Pamoja tunaikijanisha TANZANIA YETU💚🌿 Share Iwafikie

Sisi kama Vijana wa Kitanzania tumedhamiria kuunga mkono Juhudi za Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan katika Upandaji Miti, Utoaji wa Elimu juu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na zaidi Utunzaji wa Mazingira yetu.

Kwa Pamoja tunaikijanisha TANZANIA YETU💚🌿

Share Iwafikie
Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

Katika kuendelea kuikijanisha Tanzania Vijana wa Green Samia wanaendelea kuwa vinara katika agenda ya Upandaji Miti. Vijana kutoka Dodoma wameweza kufanikisha upandaji wa Miti 250 Chuoni UDOM ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Mhe Rais, Dr Samia Suluhu Hassan. #MamaWaKijani💚✅

Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

Green Samia TUNASONGA NA MAMA💚 Kila hatua ikiongeza utajiri kwenye mazingira yetu na Uoto wa Kijani, tukiiongezea thamani ardhi yetu Mama ya Tanzania. Jiunge na nasi tukisherehekea uzuri na upekee wa Nchi yetu Tanzania🇹🇿 #MamaWaKijani💚 #TunasongaNaSamia🌿

Green Samia TUNASONGA NA MAMA💚
Kila hatua ikiongeza utajiri kwenye mazingira yetu na Uoto wa Kijani, tukiiongezea thamani ardhi yetu Mama ya Tanzania. Jiunge na nasi tukisherehekea uzuri na upekee wa Nchi yetu Tanzania🇹🇿

#MamaWaKijani💚
#TunasongaNaSamia🌿
HUDEFO (@hudefo) 's Twitter Profile Photo

Join us in fostering environmental justice and sustainable living. #ZeroWasteTZ #TakaSifuriInawezekana #WasteManagement #EPR #KnowledgeExchange #ExtendedProducerResponsibility #EndSingleUsePlastic #PlasticFreeWorld #WasteFreeTZ #SUPfreeEAC

Join us in fostering environmental justice and sustainable living.

#ZeroWasteTZ #TakaSifuriInawezekana #WasteManagement #EPR #KnowledgeExchange #ExtendedProducerResponsibility #EndSingleUsePlastic #PlasticFreeWorld #WasteFreeTZ #SUPfreeEAC
Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

Kumbatia mizizi ya mabadiliko, panda mti leo kwa kesho bora💚 Katika tendo la kupanda mti, tunaandika barua ya upendo kwa Dunia. Vijana wa Green samia pamoja na Watanzania wote kwa ujumla tuna wajibu wa kuhifadhi mazingira na kukuza udumifu wa rasilimali za asili. #MamaWaKijani

Kumbatia mizizi ya mabadiliko, panda mti leo kwa kesho bora💚 Katika tendo la kupanda mti, tunaandika barua ya upendo kwa Dunia.

Vijana wa Green samia pamoja na Watanzania wote kwa ujumla tuna wajibu wa kuhifadhi mazingira na kukuza udumifu wa rasilimali za asili.

#MamaWaKijani
Catherine (@catherinemutta) 's Twitter Profile Photo

I had time to share my knowledge on Climate change and waste management with 3 primary schools , but also plant 200 trees and provided Dustbins #VolunteerWork #Climateaction Greenpeace Africa Sustainable Africa Green Samia Rise up Foundation ETE

I had time to share my knowledge on Climate change and waste management   with 3 primary schools , but also plant  200 trees and provided Dustbins
#VolunteerWork #Climateaction
Greenpeace Africa Sustainable Africa Green Samia Rise up Foundation ETE
Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

Introducing Highmark  , our esteemed Deputy Communications Officer for Green Samia. With a fervent dedication to environmentalism and a passion for digital climate activism, Emmanuel brings a wealth of knowledge and enthusiasm to our team. #MamaWaKijani💚

Introducing Highmark  , our esteemed Deputy Communications Officer for Green Samia.

With a fervent dedication to environmentalism and a passion for digital climate activism, Emmanuel brings a wealth of knowledge and enthusiasm to our team.

#MamaWaKijani💚
Climate Hub (CH) 🌍 (@climatehubtz) 's Twitter Profile Photo

The wait is finally over! ✨🌍 DAR FELLOWS NAILED IT🙌 Day 1 of our Climate Education Fellowship in Dar es Salaam was a powerful start, igniting change and turning thoughts into action. #CHcommunity #EITcommunity

The wait is finally over! ✨🌍

DAR FELLOWS NAILED  IT🙌

Day 1 of our Climate Education Fellowship in Dar es Salaam was a powerful start, igniting change and turning thoughts into action.

#CHcommunity #EITcommunity
Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

Get Introduced to Ghaamid Abdulbasat, our Research and International Outreach, a dedicated Ecohydrologist, Biodiversity Policy Analyst, National Geographic Explorer. We are privileged to have him as an integral part of our team #MamaWaKijani💚

Get Introduced to Ghaamid Abdulbasat, our Research and International Outreach, a dedicated Ecohydrologist, Biodiversity Policy Analyst, National Geographic Explorer.

We are privileged to have him as an integral part of our team

#MamaWaKijani💚
Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

GREEN SAMIA COORDINATION TEAM TO BE INTRODUCED SOON🔊 Get ready for the upcoming Introduction of the Green Samia Coordination Team The coordination team will be based out of the Green Samia Secretariat and regional offices. #MamaWaKijani💚

GREEN SAMIA COORDINATION TEAM TO BE INTRODUCED SOON🔊

Get ready for the upcoming Introduction of the Green Samia Coordination Team

The coordination team will be based out of the Green Samia Secretariat and regional offices.

#MamaWaKijani💚
Green Samia (@greensamia_23) 's Twitter Profile Photo

Urejeshwaji wa Ardhi, Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame. Happy World Environmental Day🍀 #MamaWaKijani💚 @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @warsam85 @laurelkivuyo

Urejeshwaji wa Ardhi, Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame.

Happy World Environmental Day🍀

#MamaWaKijani💚

@samia_suluhu_hassan
@ikulu_mawasiliano
@warsam85
@laurelkivuyo