HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile
HabariLeo

@habarileo

Kwa habari za uhakika na kina | Sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania
Tanzania Standard Newspapers (TSN)

ID: 349041397

linkhttp://www.tsn.go.tz calendar_today05-08-2011 12:55:37

63,63K Tweet

170,170K Followers

766 Following

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewasilisha mapendekezo ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Mkutano Mkuu Maalum unaofanyika mjini Dodoma. Akiwasilisha Ilani hiyo ya saba tangu kuanza kwa uchaguzi wa vyama vingi, Mkumbo amesema

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

SINGIDA: MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kati imeendelea kutoa hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia mkoani Singida na Iringa sanjari na kuvutia uwekezaji wa bidhaa hiyo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa nishati safi

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akifurahia burudani ya muziki pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, wakati vikundi mbalimbali vya sanaa ya vilipokuwa vikitumbuiza kabla ya kikao kuanza rasmi leo Ijumaa

MOROGORO: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imebaini utekelezaji hafifu usiokidhi viwango miradi 12 ya maendeleo ikiwemo ujenzi, afya na elimu yenye thamani ya Sh bilioni 1.26. Mkuu wa Takukuru mkoa huo ,Pilly Mwakasege amesema hayo kupitia

MOROGORO: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imebaini utekelezaji hafifu usiokidhi viwango miradi 12 ya maendeleo ikiwemo ujenzi, afya na elimu yenye thamani ya Sh bilioni 1.26.

Mkuu wa Takukuru mkoa huo ,Pilly Mwakasege amesema hayo kupitia
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema uelekeo wa Serikali ni kuzipa kampuni binafsi nafasi ya uwekezaji katika miradi mbalimbali ili kuongeza ufanisi. - Akizungumza leo Mei 30, bungeni jijini Dodoma, Kihenzile amesema baadhi ya kampuni binafsi zilizopewa

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 inalenga kujenga uchumi jumuishi unaowafikia Watanzania wote, huku ikieleza vipaumbele tisa vinavyolenga kuchochea maendeleo ya kisasa, kupunguza umaskini na kuimarisha ustawi wa jamii. 📌 Vipaumbele 9

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

MOROGORO: MSAJILI wa Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB), Profesa George Musalya amewashauri wafugaji kuunda vyama vya ushirika kwa maendeleo ya wana ushirika hususani kwenye Tasnia ya maziwa. Profesa Musalya ametoa ushauri huo wakati akijibu hoja mbalimbali za washiriki wa Kongamano

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema kwa kipindi cha miaka minne, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa katika mradi wa reli ya kisasa (SGR). - Akizungumza leo Mei 30, bungeni jijini Dodoma, Kihenzile amefafanua mafanikio yaliyopatikana katika

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM Bara, Mzee Stephen Wasira, alichaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakati akiwa mjumbe wa kamati maalum ya uandishi wa Ilani Mpya ya Uchaguzi ya

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Ilani mpya ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemgusa Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano, kwa kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya taifa, huku Rais Samia Suluhu Hassan na Magufuli wakitajwa mara nne kila mmoja kama kinara wa

DODOMA — Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 imeweka msisitizo katika kuimarisha demokrasia na utawala bora, ikiwa ni pamoja na ushiriki mpana wa wananchi na uhuru wa vyombo vya habari. Miongoni mwa mafanikio yaliyoainishwa ni pamoja na

DODOMA — Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 imeweka msisitizo katika kuimarisha demokrasia na utawala bora, ikiwa ni pamoja na ushiriki mpana wa wananchi na uhuru wa vyombo vya habari.

Miongoni mwa mafanikio yaliyoainishwa ni pamoja na
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake mpya ya uchaguzi kuelekea mwaka 2025 kimeahidi kuhuisha na kukamilisha mchakato wa katiba mpya, kama sehemu ya ajenda yake ya kuimarisha demokrasia na utawala bora nchini. Katika kipengele cha “Kudumisha Demokrasia na Utawala

DODOMA — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake mpya ya uchaguzi kuelekea mwaka 2025 kimeahidi kuhuisha na kukamilisha mchakato wa katiba mpya, kama sehemu ya ajenda yake ya kuimarisha demokrasia na utawala bora nchini.

Katika kipengele cha “Kudumisha Demokrasia na Utawala
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025 imeweka msukumo mpya katika kuimarisha mnyororo wa haki jinai ikiahidi kudhibiti matumizi ya fedha taslimu, kwa lengo la kuongeza uwazi na kupunguza mianya ya uhalifu wa kifedha. CCM imesema itaielekeza serikali

DODOMA — Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025 imeweka msukumo mpya katika kuimarisha mnyororo wa haki jinai ikiahidi kudhibiti matumizi ya fedha taslimu, kwa lengo la kuongeza uwazi na kupunguza mianya ya uhalifu wa kifedha.

CCM imesema itaielekeza serikali
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Katika Ilani yake mpya ya Uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza dhamira ya kuhakikisha angalau asilimia 50 ya huduma zote za serikali zinapatikana kwa njia ya kidijitali ifikapo mwisho wa kipindi cha utekelezaji wa Ilani hiyo. Hatua hiyo inalenga kuongeza

DODOMA — Katika Ilani yake mpya ya Uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza dhamira ya kuhakikisha angalau asilimia 50 ya huduma zote za serikali zinapatikana kwa njia ya kidijitali ifikapo mwisho wa kipindi cha utekelezaji wa Ilani hiyo.

Hatua hiyo inalenga kuongeza
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake mpya ya Uchaguzi kimepanga kuanzisha mamlaka huru ya upelelezi itakayojulikana kama Ofisi ya Taifa ya Upelelezi (National Bureau of Investigation), yenye jukumu la kushughulikia makosa yote ya jinai nchini. Ofisi hiyo huru

DODOMA — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake mpya ya Uchaguzi kimepanga kuanzisha mamlaka huru ya upelelezi itakayojulikana kama Ofisi ya Taifa ya Upelelezi (National Bureau of Investigation), yenye jukumu la kushughulikia makosa yote ya jinai nchini.

Ofisi hiyo huru
HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuanzisha programu maalum ya ujenzi wa nyumba bora vijijini kama sehemu ya mkakati wa kuongeza kasi ya maendeleo katika maeneo ya vijijini. Lengo ni kuboresha makazi na kupunguza kasi ya vijana kuhamia mijini kwa kukuza fursa za ajira

DODOMA — Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mpango kabambe wa kujenga bandari mpya ya Bagamoyo, ikiwa ni sehemu ya Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2025-2030, kwa lengo la kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na usafirishaji katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.