HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile
HakiElimu

@hakielimu

A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.

ID: 243172143

linkhttp://www.hakielimu.or.tz calendar_today26-01-2011 13:24:26

13,13K Tweet

157,157K Followers

621 Following

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

#CSOWeek2025 Steering Committee members. Day 4 has been phenomenal with sessions ranging from amplifying youth Voices, Consumer protecting mechanisms, CSO contribution to #Vision2050

#CSOWeek2025 Steering Committee members. Day 4 has been phenomenal with sessions ranging from amplifying youth Voices, Consumer protecting mechanisms, CSO contribution to #Vision2050
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

#CSOWeek2025 Session: "From Policy to Progress – Reintegrating Teenage Mothers into the Education System in Tanzania" The HakiElimu’s session explored the complex realities of reintegrating teenage mothers into Tanzania’s formal secondary education system. Drawing from its

#CSOWeek2025 Session: "From Policy to Progress – Reintegrating Teenage Mothers into the Education System in Tanzania"

The <a href="/HakiElimu/">HakiElimu</a>’s session explored the complex realities of reintegrating teenage mothers into Tanzania’s formal secondary education system.

Drawing from its
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

During #CSOWeek2025, HakiElimu had the opportunity to present findings from its 2024 study titled: “Experiences and Practices of Reintegrating Teenage Mothers into Formal Secondary Schools in Tanzania.” The presentation offered a deep and human-centered perspective on the

During #CSOWeek2025, <a href="/HakiElimu/">HakiElimu</a> had the opportunity to present findings from its 2024 study titled: “Experiences and Practices of Reintegrating Teenage Mothers into Formal Secondary Schools in Tanzania.”

The presentation offered a deep and human-centered perspective on the
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

Cheza Leo, Jenga Kesho Yenye Mafanikio! Watoto wanapocheza, hawafurahii tu bali WANAJIFUNZA! 👉 Kupitia michezo: ✅ Wanajenga misuli na afya bora ✅ Wanajifunza kushirikiana na kufuata sheria ✅ Wanaongeza ubunifu na uwezo wa kufikiri ✅ Wanajifunza kujieleza na kuelewa hisia

Cheza Leo, Jenga Kesho Yenye Mafanikio!

Watoto wanapocheza, hawafurahii tu bali WANAJIFUNZA!

👉 Kupitia michezo:

✅ Wanajenga misuli na afya bora
✅ Wanajifunza kushirikiana na kufuata sheria
✅ Wanaongeza ubunifu na uwezo wa kufikiri
✅ Wanajifunza kujieleza na kuelewa hisia
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

JE, TUNAMTHAMINI MWALIMU VYA KUTOSHA? Kila mtoto huzaliwa na ndoto. Ndoto ya kuwa daktari 🩺, mhandisi 🏗️, mwandishi ✍🏽, au kiongozi 🧭 Lakini ndoto hizi haziwezi kutimia bila uwepo wa mtu wa kumpa mwanga wa maarifa—MWALIMU. Mwalimu aliyeandaliwa vizuri, mwenye motisha ya

JE, TUNAMTHAMINI MWALIMU VYA KUTOSHA?

Kila mtoto huzaliwa na ndoto. Ndoto ya kuwa daktari 🩺, mhandisi 🏗️, mwandishi ✍🏽, au kiongozi 🧭

Lakini ndoto hizi haziwezi kutimia bila uwepo wa mtu wa kumpa mwanga wa maarifa—MWALIMU.

Mwalimu aliyeandaliwa vizuri, mwenye motisha ya
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

HakiElimu inaungana na Serikali ya Tanzania, mashirika ya kiraia, jumuiya ya kimataifa, na wadau mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika 2025 yenye Kauli mbiu ''Upangaji na utengaji Bajeti kwa Haki za Watoto: Maendeleo Tangu 2010''. Nchini Tanzania,

HakiElimu inaungana na Serikali ya Tanzania, mashirika ya kiraia, jumuiya ya kimataifa, na wadau mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika 2025 yenye Kauli mbiu ''Upangaji na utengaji Bajeti kwa Haki za Watoto: Maendeleo Tangu 2010''.

Nchini Tanzania,
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

We’re thrilled to announce that our 2024 Annual Report is now available on our website! 🌟 A Key Highlight: In 2024, 40,966 students — including 18,680 boys and 22,286 girls — were strengthened with vital knowledge on: ✅ Children’s Rights ✅ Sexual and Reproductive Health

We’re thrilled to announce that our 2024 Annual Report is now available on our website!

🌟 A Key Highlight:
In 2024, 40,966 students — including 18,680 boys and 22,286 girls — were strengthened with vital knowledge on:

✅ Children’s Rights
✅ Sexual and Reproductive Health
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

JE!, MTOTO WAKO ANAKUKUMBUKA KWA LIPI – VITU ULIVYOMLETEA, AU MUDA ULIOMPA? Katika maisha yenye harakati nyingi za utafutaji, tunajikuta tukisahau jambo muhimu zaidi: Uwepo wetu wa kweli kwa watoto wetu. 🔹 Je, unajua kuwa dakika chache unazotenga kwaajili ya kucheza,

JE!, MTOTO WAKO ANAKUKUMBUKA KWA LIPI – VITU ULIVYOMLETEA, AU MUDA ULIOMPA?

Katika maisha yenye harakati nyingi za utafutaji, tunajikuta tukisahau jambo muhimu zaidi: Uwepo wetu wa kweli kwa watoto wetu.

🔹 Je, unajua kuwa dakika chache unazotenga kwaajili ya kucheza,
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

Driving forward our commitment to end violence against children, HakiElimu held a pivotal meeting today with Together for Girls and the University of Dar es Salaam, College of Education (DUCE). This collaboration is set to roll out a national assessment in Mainland Tanzania and

Driving forward our commitment to end violence against children, HakiElimu held a pivotal meeting today with Together for Girls and the University of Dar es Salaam, College of Education (DUCE). 

This collaboration is set to roll out a national assessment in Mainland Tanzania and
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

TUNAPOSEMA HEDHI SI KIKWAZO – TUNAMAANISHA! Je, unajua? 📊 Kwa mujibu wa ripoti ya UNICEF (2019), nchini Tanzania wasichana hukosa masomo kwa siku 3 hadi 5 kila mwezi kwa kukosa taulo za kike wakati wa hedhi. Lakini kwa wasichana wa shule ya Sekondari Kitete, wilayani Kilosa –

TUNAPOSEMA HEDHI SI KIKWAZO – TUNAMAANISHA!

Je, unajua? 📊 Kwa mujibu wa ripoti ya UNICEF (2019), nchini Tanzania wasichana hukosa masomo kwa siku 3 hadi 5 kila mwezi kwa kukosa taulo za kike wakati wa hedhi.

Lakini kwa wasichana wa shule ya Sekondari Kitete, wilayani Kilosa –
DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wakifundishwa namna ya kujitengenezea pedi za kufua itasaidia wasichana kujiamini na kuhudhuria masomo kwa uhakika hata kipindi cha hedhi.

HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

🧒🏾 Udumavu Unaanzia Nyumbani – Chukua Hatua Sasa! Ripoti ya ufuatiliaji Uwajibikaji wa Jamii iliyotolewa hivi karibuni na Marafiki wa Elimu Mpwapwa imeonesha kuwa familia nyingi zinapata shida kupata milo mitatu kwa siku kwa sababu ya ugumu wa maisha. ⚠️ Hali hii inasababisha

🧒🏾 Udumavu Unaanzia Nyumbani – Chukua Hatua Sasa!

Ripoti ya ufuatiliaji Uwajibikaji wa Jamii iliyotolewa hivi karibuni na Marafiki wa Elimu Mpwapwa imeonesha kuwa familia nyingi zinapata shida kupata milo mitatu kwa siku kwa sababu ya ugumu wa maisha.

⚠️ Hali hii inasababisha
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

🚨 Consultancy Alert! 🚨 HakiElimu is inviting qualified consultants to conduct an audit of our ERP System. 💼 Deadline for Submission: 18th July 2025 📩 Submit your technical and financial proposals to: [email protected] 🔍 For full Terms of Reference and

🚨 Consultancy Alert! 🚨

HakiElimu is inviting qualified consultants to conduct an audit of our ERP System.

💼 Deadline for Submission: 18th July 2025

📩 Submit your technical and financial proposals to: procurement@hakielimu.or.tz

🔍 For full Terms of Reference and