
HakiRasilimali
@hakirasilimali
The leading civil societies coalition in Tanzania fighting for transparency and accountability in the extractive industry (mining, oil & gas).
ID: 779630824551571456
https://www.hakirasilimali.or.tz 24-09-2016 10:37:28
4,4K Tweet
10,10K Followers
397 Following

"Kumekuwa na migogoro kati ya wananchi na migodi kuhusu matumizi ya vyanzo vya maji, kwani wote wanategemea rasilimali hiyo kwa mahitaji yao ya kila siku." Epaphroditus Sabuni, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali


"The conservation and protection of water sources requires a collective efforts, driven by strong political will, active community engagement, and responsible corporate practices." Epaphroditus Sabuni, Vice President's Office – Environment #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali


"Hadi sasa,nchi yetu haijakumbwa na uhaba wa maji. Tunakadiriwa kuwa na takriban lita bilioni 126 za maji yanayofaa kwa matumizi ya binadamu." Domina Msonge, Wizara ya Maji #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali


"Kwa sasa tunatekeleza mpango wa kupeleka maji kutoka Ziwa Victoria hadi Dodoma, kama ilivyofanyika Tabora, kupitia mfumo wa kuhamisha maji kati ya mabonde unaoitwa inter-basin transfer." Domina Msonge, Wizara ya Maji. #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali


"Sera ya maji inatambua kuwa sekta ya madini ni miongoni mwa watumiaji wakubwa wa rasilimali maji. Ikiwa haitadhibitiwa kimkakati, inaweza kuhatarisha vyanzo vya maji na kuchochea uhaba kwa jamii na mazingira." Domina Msonge, Wizara ya Maji #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali


"Changamoto ni kwamba jamii na makampuni ya uchimbaji mara nyingi haziweki utunzaji wa vyanzo vya maji kuwa kipaumbele katika miradi ya maendeleo. Hii inaonesha haja ya kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa kulinda rasilimali hii muhimu." #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali











Mr. Adam Anthony, Executive Director of HakiRasilimali, delivers the closing remarks at #JukwaaLaUziduaji2025, underscoring the imperative for collaborative efforts and sustained commitment to advancing equitable development. Cc: Adam Anthony | HakiRasilimali




