Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile
Haki Ngowi

@hakingowi

🌍 Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 Post(Tweets) From Haki Ngowi are signed hn+

ID: 47989062

calendar_today17-06-2009 15:06:49

180,180K Tweet

446,446K Followers

9,9K Following

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Askofu Mkuu waJimbo Kuu Katoliki Dodoma Mhashamu Askofu Beatus Kinyaiya wakati akiwasili Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska - Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma kushiriki

📍Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Askofu Mkuu waJimbo Kuu Katoliki Dodoma Mhashamu Askofu Beatus Kinyaiya wakati akiwasili Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska - Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma kushiriki
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam Come witness the rise of a homegrown mining powerhouse! 🚀 Yaya Resources Limited is proudly showcasing its advanced mining solutions and impressive growth journey at the 49th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF)—Sabasaba 2025. From small-scale roots in

Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 249 ya uhuru wa Marekani iliyoitishwa na Mhe. Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Akiwa kwenye sherehe hizo, pamoja na masuala mengine, Mhe. Balozi alipata pia fursa ya kuzungumza na

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 249 ya uhuru wa Marekani iliyoitishwa na Mhe. Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Akiwa kwenye sherehe hizo, pamoja na masuala mengine, Mhe. Balozi alipata pia fursa ya kuzungumza na
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia anasafiri kwenda Umoja wa Visiwa vya

📍Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia anasafiri kwenda Umoja wa Visiwa vya
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Comoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya

📍Comoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Comoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro kwenye Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025. 📸:IKULU

📍Comoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro kwenye Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.

📸:IKULU
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Comoro Kikundi cha Kwata ya kimya kimya kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikionesha umahiri wa kupiga kwata hiyo wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025. 📸:IKULU

📍Comoro

Kikundi cha Kwata ya kimya kimya kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikionesha umahiri wa kupiga kwata hiyo wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.

📸:IKULU
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma ▪️DKT. BITEKO ASEMA TANZANIA INA USALAMA WA CHAKULA AWAPONGEZA WAKULIMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewapongeza wakulima nchini kwa jitihada zao za kuzalisha mazao kwa wingi na hivyo kusaidia nchi kuwa na usalama wa chakula ikiwa ni

📍Dodoma

▪️DKT. BITEKO ASEMA TANZANIA INA USALAMA WA CHAKULA AWAPONGEZA WAKULIMA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewapongeza wakulima nchini kwa jitihada zao za kuzalisha mazao kwa wingi na hivyo  kusaidia nchi kuwa na usalama wa chakula  ikiwa ni
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam ▪️Tume ya Madini Yapongezwa kwa Kutoa Leseni kwa Wachimbaji Wadogo kwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira 🗓️:Julai 6, 2025 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameipongeza Tume ya Madini kwa hatua yake ya kutoa leseni za uchimbaji wa

📍Dar es Salaam

▪️Tume ya Madini Yapongezwa kwa Kutoa Leseni kwa Wachimbaji Wadogo kwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira

🗓️:Julai 6, 2025

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameipongeza Tume ya Madini kwa hatua yake ya kutoa leseni za uchimbaji wa
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿🇪🇺 ▪️Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus kufanya ziara Tanzania kuimarisha ushirikiano wa EU na Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, Dkt. Constantinos Kombos, atatembelea Tanzania kuanzia tarehe 8 hadi 10 Julai kwa niaba ya Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Ulaya (EU) wa Mambo

🇹🇿🇪🇺

▪️Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus kufanya ziara Tanzania kuimarisha ushirikiano wa EU na Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, Dkt. Constantinos Kombos, atatembelea Tanzania kuanzia tarehe 8 hadi 10 Julai kwa niaba ya Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Ulaya (EU) wa Mambo
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Kahama ▪️SERIKALI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA BARRICK Imeelezwa kwamba Serikali kupitia Wizara ya Madini itaendelea kutoa ushirikiano mkubwa wa kikazi na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick ili kuendeleza uwekezaji mkubwa unaofanywa na kampuni hiyo kwa

📍Kahama

▪️SERIKALI  KUENDELEZA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA BARRICK

Imeelezwa kwamba Serikali kupitia Wizara ya Madini itaendelea kutoa ushirikiano mkubwa  wa kikazi na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick ili kuendeleza uwekezaji mkubwa unaofanywa na kampuni hiyo  kwa