Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile
Happie๐Ÿ’•

@happie_thom

Accountant by Pro| Influencer | A Sister and A Friend| Lord is my shepherd๐Ÿ™| Man City| โšฝโšฝ| LiveLoveLaughโค

ID: 1149043805208940546

calendar_today10-07-2019 19:52:46

176,176K Tweet

128,128K Followers

2,2K Following

Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Nikuibie siri? #GameMkwanja inakuja Swahiba! Fanya yote ila hakikisha unafufua akaunti yako ya CRDB kama haipo active! #gamemkwanja

Nikuibie siri? #GameMkwanja inakuja

Swahiba! Fanya yote ila hakikisha unafufua akaunti yako ya CRDB kama haipo active! 

#gamemkwanja
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Serikali inakamilisha ujenzi wa kituo cha afya Ihapa, kilichiopo kitongoji cha Ihapa kata ya Old Shinyanga. Vituo vya afya karibu na wanachi vinapunguza hatari ya wananchi kupoteza maisha kwa kufata huduma mbali. #OktobaTunatikiSamia

Serikali inakamilisha ujenzi wa kituo cha afya Ihapa, kilichiopo kitongoji cha Ihapa kata ya Old Shinyanga.

Vituo vya afya karibu na wanachi vinapunguza hatari ya wananchi kupoteza maisha kwa kufata huduma mbali.
#OktobaTunatikiSamia
๐•ต๐–†๐–’๐–†๐–† ๐•ธ๐–š๐–š๐–Ÿ๐–† ๐•ฏ๐–†๐–œ๐–† (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara. Tani 776,000 za mazao zimechukuliwa ambapo lengo la Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 kuhifadhi tani milioni 3. #OktobaTunatikiSamia

Mradi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara.

Tani 776,000 za mazao zimechukuliwa ambapo lengo la Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 kuhifadhi tani milioni 3.

#OktobaTunatikiSamia
Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile Photo

Kazi ya ujenzi wa Tanki la maji imekamilika kwenye mtaa wa Nguvu Kazi kata ya Kihonda. -Tanki hilo lina uwezo wa kuhifadhi lita milioni 1. #OktobaTunatikiSamia

Kazi ya ujenzi  wa Tanki la maji imekamilika kwenye mtaa wa Nguvu Kazi kata ya Kihonda.
-Tanki hilo lina uwezo wa kuhifadhi lita milioni 1.
#OktobaTunatikiSamia
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara. Tani 776,000 za mazao zimechukuliwa ambapo lengo la Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 kuhifadhi tani milioni 3. #OktobaTunatikiSamia

Mradi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara.

Tani 776,000 za mazao zimechukuliwa ambapo lengo la Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 kuhifadhi tani milioni 3.

#OktobaTunatikiSamia
m.s.a.k.i๏ผ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume wa kisasa haombi attentionโ€ฆ Anaivaa! Karibu suit_mseleleko โ€“ Chimbo la suti kali zenye material ya kipekee kutoka Uturuki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท, tayari kuvaa, zenye mvuto wa hali ya juu. ๐Ÿงฅ Suti ya piece 3 (Koti + Suruali + Kizibao) โ€” TSH 180,000 ๐Ÿงณ Safari Suit Original โ€” TSH 170,000 ๐Ÿ‘”

Mwanaume wa kisasa haombi attentionโ€ฆ Anaivaa!
Karibu <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> โ€“ Chimbo la suti kali zenye material ya kipekee kutoka Uturuki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท, tayari kuvaa, zenye mvuto wa hali ya juu. 

๐Ÿงฅ Suti ya piece 3 (Koti + Suruali + Kizibao) โ€” TSH 180,000
๐Ÿงณ Safari Suit Original โ€” TSH 170,000
๐Ÿ‘”
Sonninoโšก (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

NI WAKATI WA KUIACHIA TWITTER (X) BILA VPN, BAADA YA (X) KUONDOSHA VIDEO CHAFU? Kuanzia this week, Mtandao wa X, huu umekuja na Sheria Mpya ambayo haitomruhusu mtu yoyote kutazama video za ngono ambazo zilikuwa zinapatikana free humu. Sjajua Kwa sababu ya jitihada za nani๐Ÿ˜,

NI WAKATI WA KUIACHIA TWITTER (X) BILA VPN, BAADA YA (X) KUONDOSHA VIDEO CHAFU?

Kuanzia this week, Mtandao wa X, huu umekuja na Sheria Mpya ambayo haitomruhusu mtu yoyote kutazama video za ngono ambazo zilikuwa zinapatikana free humu.

Sjajua Kwa sababu ya jitihada za nani๐Ÿ˜,
Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

Tushukuru Mungu Kwa Uzima na Afya๐Ÿ™ SUFURIA SET TSH 75,000 NZITO MNOOO ๐Ÿ“Œ 0755 693 113 ๐Ÿ“ UBUNGO EXTERNAL KARIBU NA MARIOTI HOTEL, MIKOA YOTE TUNATUMA MADOPE๐ŸŒพ SATIVA17 MIRIAM๐Ÿ’œ

Tushukuru Mungu Kwa Uzima na Afya๐Ÿ™

SUFURIA SET
TSH 75,000

NZITO MNOOO ๐Ÿ“Œ

0755 693 113

๐Ÿ“ UBUNGO EXTERNAL KARIBU NA MARIOTI HOTEL, MIKOA YOTE TUNATUMA 

<a href="/Ugeniaconso/">MADOPE๐ŸŒพ</a> <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> <a href="/MiriamMkanaka/">MIRIAM๐Ÿ’œ</a>
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿฅ Jengo la Mama na Mtoto, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Meta) Ni moja ya majengo yaliyojengwa kwenye hospitali 7 za kanda. Majengo haya yameboresha huduma ikiwa ni utekelezaji wa azma ya Mama kuendelea kupunguza vifo vya uzazi. #OktobaTunatikiSamia

๐Ÿฅ Jengo la Mama na Mtoto, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Meta)

Ni moja ya majengo yaliyojengwa kwenye hospitali 7 za kanda.

Majengo haya yameboresha huduma ikiwa ni utekelezaji wa azma ya Mama kuendelea kupunguza vifo vya uzazi.

#OktobaTunatikiSamia
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ Shule ya Awali na Msingi Sokolo, Sumbawanga Ujenzi wa shule hii umetatua kero nyingi zikiwemo; Utoro wa wanafunzi Msongamano darasani Wanafunzi kutembea umbali mrefu #OktobaTunatikiSamia

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐‡๐€๐“๐”๐๐Ž๐ˆ, ๐‡๐€๐“๐”๐๐Ž๐ˆ Ziwa Victoria halijawahi kushuhudia uwekezaji mkubwa kama huu. Boti nyingine mbili za uokozi zinapelekwa ili kuimarisha usalama wa wananchi. #OktobaTunatikiSamia

Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile Photo

List ya kidawa umeiskia, lakini wallet ya Kibe umeiona? ๐Ÿ’ธ๐Ÿ”ฅ Ni full โ€œleo ndiyo leo, kivumbi na jasho!โ€ Zogo Mchongo S3 linaendelea kwenye skrini yako! ๐Ÿ“บ Clouds TV ๐Ÿ—“๏ธ Jumatano | Julai 23 | Saa 3:15 Usiku ๐Ÿ” Marudio: Jumamosi saa 8:00 Mchana #SwahibaNaWeweUmo #ZogoMchongo2025

Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam. Kukamilika kwa daraja hilo kunaenda kuondoa changamoto ya mafuriko. #OktobaTunatikiSamia

Serikali imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam.

Kukamilika kwa daraja hilo kunaenda kuondoa changamoto ya mafuriko.
#OktobaTunatikiSamia