
Ambassador Hoyce Temu, PhD
@hoycetemu
Deputy Permanent Representative, Tanzania Mission to the UN in Geneva. Retweet not endorsement. Views are my own.
ID: 1682603220
https://www.tzembassy.go.tz/ambassadors/view/hoyce-anderson-temu 19-08-2013 07:37:09
3,3K Tweet
19,19K Followers
1,1K Following






Tanzania yanadi uzoefu wake katika kukabiliana na Maafa, yawaalika Mataifa kuja kujifunza. We were honored to have Dr. Jim James Yonazi ๐น๐ฟ , Permanent Secretary Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Jim Yonazi , leading the Tanzanian delegation at the 8th Session of the Global Platform for Disaster Risk



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa mahmoud Kombo alipotembelea Tanzania Mission to The UN Office | Geneva na kukabidhi kitabu cha Hayati Mwalimu Nyerere Rais wa Kwanza wa JMT๐น๐ฟ Kulia ni Balozi wa Tanzania na Mwakilishi wa Kudumu Geneva Mh. Dr. Abdallah Possi #booksdiplomacy


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi WizarayaMamboyaNdani Mh. Innocent Bashungwa amesaini MOU na Chief of Mission wa IOM Tanzania IOM - UN Migration ๐บ๐ณ katika ushirikiano kwenye Chuo cha mafunzo cha IOMAfrican Capacity Building Centre(ACBC) ambacho kimejengwa Moshi Mkoani Kilimanjaro ๐น๐ฟ na kinafundisha



TUKUTANE MSOGA MARATHON 12.JULY.2025 KWA AJIRI YA KUCHANGIA AFYA YA MAMA NA MTOTO.Jakaya Kikwete WHO African Region Ambassador Hoyce Temu, PhD @Ridhiwani



Ambassador Hoyce Temu, PhD Hapa sahihi naunga mkono hoja dada yangu ๐๐