IFM TZ Official Page (@ifm_tanzania) 's Twitter Profile
IFM TZ Official Page

@ifm_tanzania

IFM is a Government higher learning Institution established in 1972 to provide training, research and consultancy in banking, insurance, social protection, taxa

ID: 912249651390279681

linkhttps://www.ifm.ac.tz calendar_today25-09-2017 09:37:20

75 Tweet

493 Followers

17 Following

IFM TZ Official Page (@ifm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) walipotembelea maeneo ya chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyopo Njedengwa na Nala katika mkoa wa Dodoma. Chuo kinamiliki eneo lenye ekari 14 lililopo Njedengwa na ekari 312 lililopo Nala.

Ziara ya Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) walipotembelea maeneo ya chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyopo Njedengwa na Nala katika mkoa wa Dodoma.

Chuo kinamiliki eneo lenye ekari 14 lililopo Njedengwa na ekari 312 lililopo Nala.