MvuviTech🔌 (@itexperttz) 's Twitter Profile
MvuviTech🔌

@itexperttz

Tunatoa Ushauri, Elimu, Maoni Na Huduma Ya Ufundi Wa Kompyuta💻

Contact : +255767201879, +255683464543📱

Signed Under @MvuviMovies & @TOTTechs

ID: 1081794707255107584

calendar_today06-01-2019 06:08:51

48,48K Tweet

13,13K Followers

1,1K Following

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya CHAMA CHANGU CHADEMA wakikubali Maridhiano… Ndio Rasmi wanakuwa wamepotezwa kwenye Ulingo wa Siasa… na Chama kitajifia! Huu ni muda wa kukaa upande wa Haki… Upande wa wananchi… Mateso ni ya muda tu…. Tupo karibu mno kufika….💔

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote. Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki. Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu. Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia. Damu ya wenzetu haijamwagika

MvuviTech🔌 (@itexperttz) 's Twitter Profile Photo

Airtel Tanzania Inapaswa Kufafanua Wanaposema "Unlimited Bundles" Hili Linawakuta Sana Watu Wenye Matumizi Makubwa Ya Bundle. Baada Ya Kutumia Kiasi Fulani Cha Bundle Speed Inashuka Mpaka 20Kbps 😂 Bhasi Hilo Neno "Unlimited" Mlitoe Tu

<a href="/airtel_tanzania/">Airtel Tanzania</a> Inapaswa Kufafanua Wanaposema "Unlimited Bundles"

Hili Linawakuta Sana Watu Wenye Matumizi Makubwa Ya Bundle.

Baada Ya Kutumia Kiasi Fulani Cha Bundle Speed Inashuka Mpaka 20Kbps 😂

Bhasi Hilo Neno "Unlimited" Mlitoe Tu
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hatujazika, tunatafuta miili, tuna majonzi, tuna uchungu, hatujaanua matanga.. wewe unapewa pesa ufanye spinning ya ford foundation? Ndio nini? Kumanina zako Madenge!!

S A B I S T A R (@sabi_blessed) 's Twitter Profile Photo

Ps5 controller yako inachangamoto yoyote na kukufanya usindwe kufurahia kucheza games kwenye Ps5 yako? WhatsApp 0713338861/0711714346 nina suluhu ya changamoto yako