Evarist Mapesa
@iammapesa
Multimedia Journalist
ID: 872416397405671424
07-06-2017 11:34:12
1,1K Tweet
560 Followers
2,2K Following
Akili Mnemba #ArtificialIntelligence ipatiwe maagizo na binadamu ili isikiuke maadili, asema António Guterres kwenye ujumbe wake wa #EducationDay leo Januari 24. news.un.org/sw/story/2025/…
Baada ya #M23 kuamuru wakimbizi wote kwenye kambi zilizoko #Goma #DRC kurejea makwao, mmoja wao amerejea #Sake na kukuta makazi yake yamebomolewa. Sasa ana ombi kwa Umoja wa Mataifa Ungana na Evarist Mapesa George Musubao
Baada ya kukosa ajira ya alichosomea Chuo Kikuu, kijana mmoja nchini #Tanzania atumia fursa ya ufugaji wa 🐟🐠 samaki kwenye vizimba huko Ziwa Viktoria kama anavyosimulia Evarist Mapesa kutoka #Mwanza #Tanzania #SDGs
Tunakupeleka #Mwanza nchini #Tanzania ambako Evarist Mapesa anamulika harakati za Amani Girls Organization za kutokomeza ajira kwa watoto International Labour Organization #EndChildLabour
Ikiwa leo ni tamati ya #WorldBreastfeedingWeek Anold Kayanda anamulika akina mama wenye magonjwa sugu kama #diabetes wanafanya nini kuhakikisha wananyonyesha watoto wao. WHO Tanzania Shukrani sana kwa Evarist Mapesa wa Muhimbili National Hospital