MR NOW 0' NEVER ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@iamphareys) 's Twitter Profile
MR NOW 0' NEVER ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@iamphareys

ARSENALISM #26 4LIFE ||THE UNDERCOVER|| Every obstacle, make impossible possible Even when winning illogical, losing's still far from optional.

ID: 1324724635

calendar_today03-04-2013 14:27:18

25,25K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Kampuni kubwa za Internet kutoka India Airtel na Jio, Zimeungana na Kampuni kubwa ya kutoa Huduma ya Internet kupitia Satelite ya Elon Musk, Kutoa huduma ya Internet.. Hivyo tutegemee speed ya kubwa ya Internet toka Airtel.. Habari kamili.. Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Kampuni kubwa za Internet kutoka India Airtel na Jio,

Zimeungana na Kampuni kubwa ya kutoa Huduma ya Internet kupitia Satelite ya Elon Musk,

Kutoa huduma ya Internet..

Hivyo tutegemee speed ya kubwa ya Internet toka Airtel..

Habari kamili..

Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Dullah_theKing๐ŸŽง (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Huku YAS katika Suala la Manunuzi ya LUKU wala hatupangi Foleni, Ni mwendo wa kujiMixx tuu kidigitalii huku YAS wakitumixx na Tuzo kibao ambazo tunaweza zibadili kuwa Dakika..... Jiwe Moja ila linafanya mauaji ya ndege kadhaa ๐Ÿ“Œ #MixxByYas #YasTanzania #NiWakatiWetu

Huku YAS katika Suala la Manunuzi ya LUKU wala hatupangi Foleni, Ni mwendo wa kujiMixx tuu kidigitalii huku YAS wakitumixx na Tuzo kibao ambazo tunaweza zibadili kuwa Dakika.....

Jiwe Moja ila linafanya mauaji ya ndege kadhaa ๐Ÿ“Œ

#MixxByYas 
#YasTanzania 
#NiWakatiWetu
MR NOW 0' NEVER ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@iamphareys) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mstari Mwembamba Sana Unaotenganisha Kati Ya Msaada Na Masimango Jitahidi Usipende Sana Kusaidiwa Jifunze Kujitegemea. โœ๏ธ