Imani Henrick Luvanga (@imaniluvanga) 's Twitter Profile
Imani Henrick Luvanga

@imaniluvanga

Multi-award winning Journalist | Digital rights advocate and gender justice activist | Founder - @digitwithimani

ID: 1142319138989334534

linkhttps://beacons.ai/imani.luvanga calendar_today22-06-2019 06:31:20

41,41K Tweet

11,11K Followers

958 Following

DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefurahi kukutana na wasichana mbalimbali wanaopigania haki za watoto na wasichana kupitia platform tofauti tofauti kwa kupaza sauti zao maana kila sauti inathamani katika kutatua changamoto za watoto na wasichana. Msichana mwenye ndoto ni moto 🔥

Leo nimefurahi kukutana na wasichana mbalimbali wanaopigania haki za watoto na wasichana kupitia platform tofauti tofauti kwa kupaza sauti zao maana kila sauti inathamani katika kutatua changamoto za watoto na wasichana. 

Msichana mwenye ndoto ni moto 🔥
Imani Henrick Luvanga (@imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Ni miaka 65 sasa tangu utafiti juu ya Sokwemtu uanze kufanywa na haujawahi kukoma. Inaaminika kuwa vinasaba vya Sokwemtu vinafanana  na vile vya binadamu kwa zaidi ya asilimia 98. Tabia gani za  Sokwemtu hufanana na zile za binadamu?

MaArifa MwAfrica (@yusuphmwafrica) 's Twitter Profile Photo

Imani Henrick Luvanga pengine sio mwandishi wa habari kwa bahati mbaya ila ulizaliwa kuwa hivyo, though naona hii dressing style inakukaa unyama, pengine hata u'stylish wa mavazi uko ndani yako.... nakupenda mdogo wangu 📌📌📌

Imani Henrick Luvanga (@imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

You must learn that if God can take away something you never imagined losing, He can also give you something you never imagined having.

You must learn that if God can take away something you never imagined losing, He can also give you something you never imagined having.