
Emmanuel L. Mvula
@immamvula
Advocate of High Court
ID: 2437045050
10-04-2014 13:50:21
1,1K Tweet
956 Followers
414 Following




Sehemu ya Hotuba yangu nikiwa Babati Mjini kwenye Mkutano wa hadhara wa Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu . Niliwaeleza jukwaa sahihi la kuleta mageuzi ni ACT Wazalendo. Vijana wote wote njooni tuungane. Usipitwe na usajili huu wa #Miezi10 #WanachamaMilioni10




Hii ni Weekend niliyotumia kusikiliza muziki. Napenda Country songs old and morden. Kati ya nyimbo zaidi ya 70 nilizosingiliza, kipande hiki cha Chancetherapper cha wimbo wa Nelly Hot in here kimebaki kichwani. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Paul Mikongoti Fulgence Miku

academia.edu/resource/work/… Jamii ya Maasai waishio Ngorongoro inaelekea wanathibitiwa kwa kutokupewa huduma za kijamii na kuadhibiwa wote (collective punishment) kwa kukosa majina yao katika daftari la kudumu la wapigakura. Hii kwa Kiingereza inaitwa disenfranchisement. Kitabu hiki








UPDATE #FreeNondo Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya vijana_Official ndg Abdul Nondo 🇹🇿 amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam. Tumefika Kituoni, ingawa Police Force TZ wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number




Hii Issue ya Lissu ni Very big test for Opposition, Civil Socity, pressure groups and activists on Organisational Skills. The coming 72 hours are very crucial. Let's see if we can stand up to the call! John Heche Zitto MwamiRuyagwa Kabwe MNYIKA John John Ado Shaibu Dorothy Semu Olaigwanani-Olengurumwa, Adv