IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile
IMS in Tanzania

@imstanzania

The IMS Programme in Tanzania works to promote and strengthen public interest in media content and journalism and ensure the safety of journalists.

ID: 1616337545608003584

linkhttp://mediasupport.org calendar_today20-01-2023 07:32:21

295 Tweet

120 Followers

66 Following

Twaweza - ni sisi (@twaweza_nisisi) 's Twitter Profile Photo

Day one of #WPFD2025 kicks off in Arusha! This year’s theme — The Impact of AI on #PressFreedom and the Media — invites us to reflect on how technology is reshaping journalism. As we embrace innovation, how do we safeguard the integrity and freedom of the press?

Day one of #WPFD2025 kicks off in Arusha! 

This year’s theme — The Impact of AI on #PressFreedom and the Media — invites us to reflect on how technology is reshaping journalism. 

As we embrace innovation, how do we safeguard the integrity and freedom of the press?
Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Habari Tanzania (MCT), kwa kushirikiana na wadau wa habari, Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Kituo cha Haki za Binanamu (LHRC), wameandaa mjadala, unaoshirikisha Bunge, kujadili Mfumo wa Kisheria na Wajibu wa Bunge Katika Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini.

Union of Tanzania Press Clubs (@utpctz) 's Twitter Profile Photo

“AI is changing everything, It brings amazing opportunities, but also big risks to our rights and freedoms. UNESCO stands ready to help governments, civil society, and media create a safer space for journalism in the AI era” - Michel Toto, UNESCO Representative during WPFD

IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

Kutoka maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duncan, #Arusha, #Tanzania: Waziri Mkuu, amewaeleza wadau wa habri kuwa serikali inapitia sera ya habari ya 2003 na kuandaa mkakati kuhusu akili mnemba; masuala haya yalijitokeza katika matakwa ya wadau wa habari.

Kutoka maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duncan, #Arusha, #Tanzania: Waziri Mkuu, amewaeleza wadau wa habri kuwa serikali inapitia sera ya habari ya 2003 na kuandaa mkakati kuhusu akili mnemba; masuala haya yalijitokeza katika matakwa ya wadau wa habari.
Union of Tanzania Press Clubs (@utpctz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Majaliwa: Maadili, Ujasiriamali na Utamaduni Vipewe Kipaumbele katika Tasnia ya Habari Akizungumza kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Majaliwa: Maadili, Ujasiriamali na Utamaduni Vipewe Kipaumbele katika Tasnia ya Habari

Akizungumza kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Balozi wa Saudi Arabia-Tanzania, Yahya bin Ahmed Okeish amesema kuna uwekezaji mkubwa ambao unafanywa na Taifa lake katika masuala ya Kidigitali kwa kuwa huko ndipo Dunia inapoelekea Amesema wamewekeza kwenye Akili Mnemba (AI) kutokana na ukuaji wa Teknolojia na kwamba

ARUSHA: Balozi wa Saudi Arabia-Tanzania, Yahya bin Ahmed Okeish amesema kuna uwekezaji mkubwa ambao unafanywa na Taifa lake katika masuala ya Kidigitali kwa kuwa huko ndipo Dunia inapoelekea

Amesema wamewekeza kwenye Akili Mnemba (AI) kutokana na ukuaji wa Teknolojia na kwamba
CIPESA (@cipesaug) 's Twitter Profile Photo

Are you at #DRIF25? So are we!!! We look forward to engaging sessions and to contributing insights on various topics ranging from #TechAccountability, #DigitalSecurity, #DigitalResilience #DataGovernance #DPI #DigitalInclusion and many other facets of the #DigitalSociety. Look

Are you at #DRIF25? So are we!!!
We look forward to engaging sessions and to contributing insights on various topics ranging from #TechAccountability, #DigitalSecurity, #DigitalResilience  #DataGovernance #DPI #DigitalInclusion and many other facets of the #DigitalSociety.

Look
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Wadau wamesema kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, wanasisitiza umuhimu wa kuhakikisha Usalama na Heshima ya Waandishi wa Habari Nchini, wakitoa wito kwa Serikali, Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wanasiasa na Jamii kwa ujumla kuhakikisha Waandishi wanalindwa dhidi ya

ARUSHA: Wadau wamesema kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, wanasisitiza umuhimu wa kuhakikisha Usalama na Heshima ya Waandishi wa Habari Nchini, wakitoa wito kwa Serikali, Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wanasiasa na Jamii kwa ujumla kuhakikisha Waandishi wanalindwa dhidi ya
IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

From #WPFD2025 commemorations in #Arusha, #Tanzania: The Embassy of #Switzerland in #Tanzania continues to play a key role in supporting local media development efforts and initiatives, including the IMS programme in #Tanzania.

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itayapokea maoni ya Wadau wa Habari na itayafanyia kazi hata kama itakuwa ni masuala ya mabadiliko ya Sera, Kanuni au Sheria Ameeleza hayo katika Maadhimisho hayo ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, ambapo Kaulimbiu

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini, Susan Ngongi akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya WPFD 2025 amesema Akili Mnemba (AI) si tena dhana ya nadharia ya mijadala, ni uhalisia unaobadilisha kwa kina namna tunavyotengeneza, kusambaza na kupokea taarifa, hivyo maamuzi ya

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini, Susan Ngongi akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya WPFD 2025 amesema Akili Mnemba (AI) si tena dhana ya nadharia ya mijadala, ni uhalisia unaobadilisha kwa kina namna tunavyotengeneza, kusambaza na kupokea taarifa, hivyo maamuzi ya
IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

Kutoka #WPFD2025, #Arusha, #Tanzania: Alphonce Shindu kutoka Africa Check in Kenya amesema ushirikiano wa wadau ni muhimu kama namna ya kudhibiti taarifa potofu wakati wa uchaguzi. #FactChecking

Kutoka #WPFD2025, #Arusha, #Tanzania: Alphonce Shindu kutoka <a href="/AfricaCheck_KE/">Africa Check in Kenya</a> amesema ushirikiano wa wadau ni muhimu kama namna ya kudhibiti taarifa potofu wakati wa uchaguzi.  #FactChecking
Malunde 1 Blog (@malundekadama) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Union of Tanzania Press Clubs kwa kushirikiana na JamiiAfrica na shirika la kimataifa la IMS, wamezindua rasmi mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari nchini malunde.com/2025/05/blog-p…

Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania <a href="/UTPCtz/">Union of Tanzania Press Clubs</a> kwa kushirikiana na JamiiAfrica na shirika la kimataifa la IMS, wamezindua rasmi mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari nchini malunde.com/2025/05/blog-p…
Union of Tanzania Press Clubs (@utpctz) 's Twitter Profile Photo

A New Media Project Launched to Support Journalists in Tanzania. Dar es Salaam, May 6, 2025, A new project to support and empower journalists in Tanzania has been launched in Dar es Salaam. A three-year project, called “Empowering Journalists for an Informed Society,” will run

A New Media Project Launched to Support Journalists in Tanzania.

Dar es Salaam, May 6, 2025, A new project to support and empower journalists in Tanzania has been launched in Dar es Salaam. A three-year project, called “Empowering Journalists for an Informed Society,” will run
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 6, 2025, IMS, JamiiAfrica na UTPC kwa pamoja wazindua Mradi wenye lengo la “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.” Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari watajengewa uwezo wa kuelewa mahitaji ya jamii na kutayarisha maudhui yanayoendana

Leo Mei 6, 2025, IMS, JamiiAfrica na UTPC kwa pamoja wazindua Mradi wenye lengo la “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.”

Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari watajengewa uwezo wa kuelewa mahitaji ya jamii na kutayarisha maudhui yanayoendana
IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

We are excited to announce the launch of our Action, Empowering journalists for informed communities in #Tanzania, which is co funded by the EU in Tanzania and Embassy of Switzerland in #Tanzania and co-implemented with Union of Tanzania Press Clubs and Jamii Forums.

We are excited to announce the launch of our Action, Empowering journalists for informed communities in #Tanzania, which is co funded by the <a href="/EUinTZ/">EU in Tanzania</a> and Embassy of Switzerland in #Tanzania and co-implemented with <a href="/UTPCtz/">Union of Tanzania Press Clubs</a> and <a href="/JamiiForums/">Jamii Forums</a>.
IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

How can African actors work together to strengthen information integrity in an age of disinformation and digital disruption? Join us at the Internet Governance Forum #AfricaIGF May 29th, 9-10 AM Bagamoyo Room, Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)

How can African actors work together to strengthen information integrity in an age of disinformation and digital disruption?

Join us at the Internet Governance Forum #AfricaIGF

May 29th, 9-10 AM
Bagamoyo Room, Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)
IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

Reminder! Join us tomorrow, May 29, 9–10 AM EAT at the Africa Internet Governance Forum Topic - Strengthening Information Integrity: An African Stakeholder Roundtable In person: Bagamoyo Room, JNICC Online:zoom.us/webinar/regist… Don’t miss it!

Reminder! Join us tomorrow, May 29, 9–10 AM EAT at the Africa Internet Governance Forum

Topic - Strengthening Information Integrity: An African Stakeholder Roundtable

In person: Bagamoyo Room, JNICC 

Online:zoom.us/webinar/regist…

Don’t miss it!