
Wajibu_Institute
@institutewajibu
Experts in:
• Public Financial Management
• Social Accountability
• Corporate Governance, and Leadership
| [email protected]
RTs are not endorsement
ID: 1054249446240870400
http://www.wajibu.or.tz 22-10-2018 05:53:49
1,1K Tweet
1,1K Followers
403 Following


On Friday, February 21, 2025, Wajibu and policy forum met with the Controller and Auditor General (CAG) to introduce their new EU in Tanzania -funded governance project, Empowering Citizenry Agency for Strengthened Public Governance and Sustainable Growth in Tanzania. The CAG welcomed



Join us at the University of Dar es Salaam on March 29, 2025, for an engaging discussion on youth empowerment and public financial accountability. Together, let's promote #YouthInclusion #Accountability #Transparency and #SustainableDevelopment! Wajibu_Institute HakiRasilimali







Mradi wa #RaiaMakini ni wa wananchi. Ni jukwaa la mabadiliko chanya katika usimamizi wa rasilimali za umma kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Kwa ushirikiano wa AZAKI,Serikali, Media na Wananchi, tunaweza kuleta mageuzi yenye tija na usawa nchini. policy forum Wajibu_Institute

Sifa za #RaiaMakini ni mtu anayejielewa, mshiriki, mfuatiliaji, muwajibikaji, na mchukua hatua. Wewe ukijipima unafaa kuitwa Raia Makini? policy forum Wajibu_Institute

Wajibu_Institute and policy forum they are conducting : "Empowering Citizenry Agency for Strengthened Public Financial Governance and Sustainable Growth in Tanzania", “ Raia Makini Project” (mtu anayejielewa, mshiriki, mfuatiliaji, muwajibikaji, na mchukua hatua ). #RaiaMakini


"Empowering Citizenry Agency for Strengthened Public Financial Governance and Sustainable Growth in Tanzania", Kwa kifupi tunauita “ Raia Makini Project” (mtu anayejielewa, mshiriki, mfuatiliaji, muwajibikaji, na mchukua hatua ). policy forum #RaiaMakini



WAJIBU na Policy Forum imefanya kikao kazi cha kwanza na wadau wa Mradi wa #RaiaMakini unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya. Kupitia kikao kazi wadau wameweza kupata taarifa za ripoti ya tathmini ya awali kama sehemu muhimu ya utekelezaji wa mradi. Wajibu_Institute EU in Tanzania


Mradi wa Raia Makini unalengo la Kuimarisha Uwajibikaji katika Usimamizi bora wa feda za Umma~ Utouh Mkurugenzi Wajibu_Institute #RaiaMakini


