Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile
Tanzania Investment Centre

@investtanzania

First point of call for all investors interested to invest in Tanzania. Established to coordinate, encourage, promote and facilitate investment in Tanzania.

ID: 918730351475875840

linkhttp://www.tic.go.tz calendar_today13-10-2017 06:49:19

2,2K Tweet

28,28K Followers

337 Following

Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji Tanzania📍 Miradi huleta mchango wa ajira, kuchangia mapato nk. Huu ni Mradi wa - UNION MEAT GROUP Ni Mradi wa ufugaji wa mifugo usindikaji wa kisasa na usambazaji wa nyama za mbuzi, kondoo na Ng’ombe kilichopo Chalinze mkoani Pwani. Kiwanda hiki kilianza

Uwekezaji Tanzania📍

Miradi huleta mchango wa ajira, kuchangia mapato nk. 

Huu ni Mradi wa -  UNION MEAT GROUP

Ni Mradi wa ufugaji wa mifugo usindikaji wa kisasa na usambazaji  wa nyama za mbuzi, kondoo na Ng’ombe kilichopo Chalinze mkoani Pwani. Kiwanda hiki kilianza
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara wa Kariakoo kupata elimu ya Uwekezaji! Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeendesha semina maalum kwa kutoa elimu na kuhamasisha wafanyabiashara wa Kariakoo. Elimu hiyo imelenga kuwajengea uelewa juu ya masuala ya uwekezaji na kubadili mwelekeo kutoka kwenye

Wafanyabiashara wa Kariakoo kupata elimu ya Uwekezaji!

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeendesha semina maalum kwa kutoa elimu na kuhamasisha wafanyabiashara wa Kariakoo. Elimu hiyo imelenga kuwajengea uelewa juu ya masuala ya uwekezaji na kubadili mwelekeo kutoka kwenye
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mbeya📍 Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinashiriki Maonesho ya Mbeya City Expo yaliyoanza tarehe 23 hadi 31 Mei, 2025. Katika maonesho hayo, mapema leo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera ametembelea banda la Kituo na amepongeza utendaji wa kituo pamoja na

Mbeya📍

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinashiriki Maonesho ya Mbeya City Expo yaliyoanza tarehe 23 hadi 31 Mei, 2025. Katika maonesho hayo, mapema leo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera ametembelea banda la Kituo na amepongeza utendaji  wa kituo pamoja na
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

The Tanzania Investment Centre (TIC) participated in an event on May 22nd, 2025, where they represented the Minister of State, President’s Office, Planning and Investment, Hon. Prof. Kitila Mkumbo. As the guest of honour, TIC provided awards to companies that achieved

The Tanzania Investment Centre (TIC) participated in an event on May 22nd, 2025, where they represented the Minister of State, President’s Office, Planning and Investment, Hon. Prof. Kitila Mkumbo. As the guest of honour, 
TIC provided awards to companies that achieved
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimepokea ujumbe kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wa Uganda, ulioongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango wa nchi hiyo, Mhe. Amos Lugoloobi. Ujumbe huu uko nchini kwa ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu mbinu bora za uwekezaji,

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeshiriki hafla ya uwasilishaji na utiaji saini wa makubaliano ya biashara ya gesi asilia kati ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya PT ESSA Industries kutoka Indonesia. Makubaliano haya yanayolenga kuimarisha

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeshiriki hafla ya uwasilishaji na utiaji saini wa makubaliano ya biashara ya gesi asilia kati ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya PT ESSA Industries kutoka Indonesia.

Makubaliano haya yanayolenga kuimarisha