Irene Madeje Mlola (@irenemlola) 's Twitter Profile
Irene Madeje Mlola

@irenemlola

ID: 3387379227

calendar_today22-07-2015 14:57:01

883 Tweet

828 Followers

623 Following

π’π‘πšπ¦π›πš 𝐌𝐞𝐝𝐒𝐚 (@shambamedia) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa Nafaka na Mazao mchanganyiko COPRA Tanzania bi. Irene Madeje Mlola akiwa kwenye kikao kazi na wadau wa tasnia ya mazao ya bustani wakiongozwa na TAHATanzania amesema COPRA itashirikiana na wadau katika kuchochea biashara ya kikanda ya mazao ya bustani.

Waziri wa kilimo Mh. Hussein M Bashe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Tawi la benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank kanda ya Magharibi. Hafla ya uzinduzi itafanyika kesho Februari 23, 2024 mjini Tabora. #TADB πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Waziri wa kilimo Mh. Hussein M Bashe
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Tawi la benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank kanda ya Magharibi. Hafla ya uzinduzi itafanyika kesho Februari 23, 2024 mjini Tabora. #TADB πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Nashukuru kwa nafasi ya kujibu maswali ya wahariri kutoka vyombo vya habari mbali mbali nchini. Nimeweza kutoa taarifa ya mambo kadhaa yakiwemo usalama wa chakula, yaliyojiri kwenye ziara tuliyoambatana na Mhe. Rais Samia Suluhu nchini Norway, soko la zao la mahindi n.k….

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Ifahamu Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA ) na malengo yake katika kuchangia kufikia #Agenda1030 na kuleta mageuzi kwenye Sekta ya Kilimo. #Mi3YaSamiaShambani

Niajiri Platform (@niajiriplatform) 's Twitter Profile Photo

UNIKONEKT 2024 Hatimae Imefika ZanzibarπŸ”₯😎 Kesho ni SUZA Maruhubi Campus kuanzia saa 08:00 AM #Unikonekt2024 #Niajirimovement

π’π‘πšπ¦π›πš 𝐌𝐞𝐝𝐒𝐚 (@shambamedia) 's Twitter Profile Photo

πŸ₯‘πŸ‘¨β€πŸŒΎMkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Antony Mtaka amefanya kikao na wadau wa zao la parachichi wakiwemo wakulima na wanunuzi wa zao hilo kujadili namna ya kuboresha miongozo, ubora na mbinu za kupata masoko ya zao la parachichi inayozalishwa mkoani Njombe.

Mkutano huo umefanyika kwa ushirikiano wa mamlaka ya udhibiti wa nafaka na mazao mchanganyiko @copra_tz kupitia Mkurugenzi wa mamlaka Irene Madeje(Irene Madeje Mlola) ambae amesema Copra itaendelea na dhamira yake ya kusimamia udhibiti wa ubora wa zao hilo kushirikiana na wadau.

Wadau katika mkutano huo walipendekeza udhibiti wa bei kupitia taarifa za wiki, kuboresha ufungashaji na usafirishaji, uwezeshaji wa maafisa ugani na kudhibiti matumizi ya kemikali katika uzalishaji wa zao la parachichi.πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@EAGrainCouncil (@eagraincouncil) 's Twitter Profile Photo

EAGC in partnership with TradeMark Africa, AGRA - Sustainably Growing Africa’s Food Systems. has today kicked-off a 2-day Eastern & Southern Africa Public-Private Policy Dialogue & Grain Trade B2B Forum in Tanzania providing for a productive dialogue & collaboration among key stakeholders in staple foods value chain

"We must deliberate on policy bottlenecks to staples export trade, explore viable solutions to advance our sector & establish harmonised approaches to facilitate food trade across borders.’’ remarked by Irene Madeje Mlola on behalf of Hon. Hussein Mohamed Bashe, Minister of Agriculture

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa #COPRA, Bi. Irene Madeje Mlola akizungumzia kuhusu Plaza Kidijitali kwenye #MtaaWaNafaka kuelekea Maonesho ya Kimataifa ya #NaneNane2024 kuanzia tarehe 1 - 8 Agosti, 2024 Jijini Dodoma. Watakuwepo TMX, Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Tume ya Maendeleo ya Ushirika - TCDC na Vodacom Tanzania.

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, Bi. Irene Madeje Mlola alitembelea Banda la #COPRA katika maonyesho ya AFRO WORLD AGRIFOOD (#AWAF), ambapo alikutana na wafanyakazi na kuangalia utendaji kazi ulivokuwa ukiendelea katika Banda hilo.

Ms. Irene Madeje Mlola, the Director General of #COPRA, visited the COPRA booth at the AFRO WORLD AGRIFOOD (#AWAF) exhibition. During her visit, she met with her team and partook in the dynamic activities and interactions that were happening at the booth.

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

AZANIA GROUP OF COMPANIES watakuwepo kwenye Mtaa wa Nafaka kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo (NaneNane 2024) yatakayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma kuanzia taerehe 01 hadi 08 Agosti 2024. #MtaaWaNafaka #NaneNane2024 #KilimoNiMchongo

AZANIA GROUP OF COMPANIES watakuwepo kwenye Mtaa wa Nafaka kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo (NaneNane 2024) yatakayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma kuanzia taerehe 01 hadi 08 Agosti 2024.

#MtaaWaNafaka
#NaneNane2024
#KilimoNiMchongo
COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) wanawatakia Watanzania wote sikuku njema ya Maulid.