Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile
Ishengoma Irene

@ishengomairene

I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.

ID: 898840196673875969

linkhttps://instagram.com/_ishengoma?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today19-08-2017 09:32:57

55,55K Tweet

19,19K Followers

2,2K Following

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

This #WorldEnvironmentDay, GIT joined HUDEFO, UN agencies & CSOs in a powerful campaign under the theme: ๐’๐ก๐š๐ซ๐ž๐ ๐‚๐ก๐š๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง๐ ๐ž๐ฌ ๐‚๐จ๐ฅ๐ฅ๐ž๐œ๐ญ๐ข๐ฏ๐ž ๐€๐œ๐ญ๐ข๐จ๐ง From clean ups to mobilizing #Youth & #Women, we drove grassroots action to protect ecosystems & our

This #WorldEnvironmentDay, GIT joined HUDEFO, UN agencies & CSOs in a powerful campaign under the theme: ๐’๐ก๐š๐ซ๐ž๐ ๐‚๐ก๐š๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง๐ ๐ž๐ฌ ๐‚๐จ๐ฅ๐ฅ๐ž๐œ๐ญ๐ข๐ฏ๐ž ๐€๐œ๐ญ๐ข๐จ๐ง

From clean ups to mobilizing #Youth & #Women, we drove grassroots action to protect ecosystems & our
Sonninoโšก (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Katika Maadhimisho ya #SikuYaMazingiraDuniani, Global Impact Transformation iliungana na HUDEFO, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Asasi za Kiraia katika kampeni yenye kauli mbiu: "Changamoto za Pamoja, Hatua za Pamoja." Usafi wa mazingira ulifanyika kwa kuhamasisha #Vijana na #Wanawake,

Katika Maadhimisho ya #SikuYaMazingiraDuniani, Global Impact Transformation iliungana na HUDEFO, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Asasi za Kiraia katika kampeni yenye kauli mbiu:
"Changamoto za Pamoja, Hatua za Pamoja."

Usafi wa mazingira ulifanyika kwa kuhamasisha #Vijana na #Wanawake,
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Katika kuadhimisha #SikuYaMazingiraDuniani, Global Impact Transformation iliungana na HUDEFO, mashirika ya Umoja wa Mataifa, na Asasi za Kiraia katika kampeni maalum yenye kauli mbiu: "Changamoto za Pamoja, Hatua za Pamoja." Kupitia kampeni hii, tulifanya usafi wa mazingira huku

Katika kuadhimisha #SikuYaMazingiraDuniani, Global Impact Transformation iliungana na HUDEFO, mashirika ya Umoja wa Mataifa, na Asasi za Kiraia katika kampeni maalum yenye kauli mbiu:

"Changamoto za Pamoja, Hatua za Pamoja."

Kupitia kampeni hii, tulifanya usafi wa mazingira huku
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Katika Maadhimisho ya #SikuYaMazingiraDuniani, chini ya kauli mbiu: "Changamoto za Pamoja, Hatua za Pamoja." Global Impact Transformation iliungana na HUDEFO kusafisha mazingira kwa kuhamasisha #Vijana na #Wanawake ili kulinda ikolojia yetu na uchumi wa buluu kwa vizazi vijavyo. #GITImpact

Katika Maadhimisho ya #SikuYaMazingiraDuniani, chini ya kauli mbiu: "Changamoto za Pamoja, Hatua za Pamoja."

Global Impact Transformation iliungana na HUDEFO kusafisha mazingira kwa kuhamasisha #Vijana na #Wanawake ili kulinda ikolojia yetu na uchumi wa buluu kwa vizazi vijavyo.

#GITImpact
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

As part of World Environment Day 2025, GIT joined the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), the national public television for a dialogue on addressing plastic pollution. We reaffirm our commitment to urgent, community led solutions that uphold the right to a clean, healthy,

As part of World Environment Day 2025, GIT joined the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), the national public television for a dialogue on addressing plastic pollution.

We reaffirm our commitment to urgent, community led solutions that uphold the right to a clean, healthy,
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

We are incredibly proud of the unstoppable women and girls of the โ€๐‹๐ž๐ญ ๐‘๐ข๐ฌ๐ž ๐“๐จ๐ ๐ž๐ญ๐ก๐ž๐ซโ€ Group in Mtwara, along the Tanzania Mozambique border, formed just three months ago after completing GITโ€™s ToT, this dynamic group is already spearheading climate-smart

We are incredibly proud of the unstoppable women and girls of the โ€๐‹๐ž๐ญ ๐‘๐ข๐ฌ๐ž ๐“๐จ๐ ๐ž๐ญ๐ก๐ž๐ซโ€ Group in Mtwara, along the Tanzania Mozambique border, formed  just three months ago after completing GITโ€™s ToT, this dynamic group is already spearheading climate-smart
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

.Global Impact Transformation Tunajivunia kwa dhati wanawake na wasichana jasiri wa kikundi cha โ€œLet Rise Togetherโ€ huko Mtwara, karibu na mpaka wa Tanzania na Msumbiji. Kikundi hiki kilianzishwa miezi mitatu tu iliyopita mara baada ya washiriki kukamilisha mafunzo ya Trainer of Trainers

.Global Impact Transformation Tunajivunia kwa dhati wanawake na wasichana jasiri wa kikundi cha โ€œLet Rise Togetherโ€ huko Mtwara, karibu na mpaka wa Tanzania na Msumbiji.

Kikundi hiki kilianzishwa miezi mitatu tu iliyopita mara baada ya washiriki kukamilisha mafunzo ya Trainer of Trainers
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Ilianza kama mafunzo na sasa imegeuka kuwa fursa ya kujiingizia kipato kupitia utengenezaji wa mkaa mbadala kwa akina mama hawa kutoka Mtwara ambapo ni nyenzo pia ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ. Pongezi nyingi sana Global Impact Transformation kwa juhudi hizi #GITImpact #GIT

Soft Finance (@softfinancetz) 's Twitter Profile Photo

Jitihada zako ni msingi wa mafanikio! Karibu Soft Finance tutakupa mkopo wa biashara utakaokuwezesha: โœ… Kupata mashine mpya โœ… Kuongeza bidhaa na kukuza mtaji Karibu ofisini Makumbusho Stendi au Tandika ๐Ÿ“ž 0678 000 800 | 0679 000 900 #MpangoPesa

Jitihada zako ni msingi wa mafanikio!

Karibu Soft Finance tutakupa mkopo wa biashara utakaokuwezesha:
โœ… Kupata mashine mpya
โœ… Kuongeza bidhaa na kukuza mtaji

Karibu ofisini Makumbusho Stendi au Tandika
๐Ÿ“ž 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPesa
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa ni siku ya tabasamu! ๐Ÿ˜Š Tunakutakia Ijumaa njema #GITImpact #FridayVibes #GlobalImpactTransformation #Friday #Tanzania #Africa

Ijumaa ni siku ya tabasamu! ๐Ÿ˜Š
Tunakutakia Ijumaa njema

#GITImpact #FridayVibes
#GlobalImpactTransformation
#Friday #Tanzania #Africa
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Mikopp nafuu inayopatikana kwa urahisi labda kipengele uje nacho wewe, hakika Soft Finance ni kimbilio la wote vigezo na masharti kuzingatiwa ki #MpangoPesa zaidi ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ”Œ

Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Happy fathers day kwa baba wote ๐Ÿคโค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ, Mwenyezi Mungu awaongoze mzidi kuwa baba bora wenye kuwajibika kwa hali na mali kwa watoto wenu au/na mama zao ili mkizeeka watoto wasiishie kusema nani kama mama!?๐Ÿ˜…๐Ÿฅฐ๐Ÿ™๐Ÿฝ #FathersDay #FathersDay2025

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

At GIT we are nurturing the power of young minds to advance climate justice where it matters most within communities. Through our E-STEAM Clubs in primary and secondary schools, students are driving inclusive, locally led solutions that tackle environmental injustice, amplify

At GIT we are nurturing the power of young minds to advance climate justice where it matters most within communities. Through our E-STEAM Clubs in primary and secondary schools, students are driving inclusive, locally led solutions that tackle environmental injustice, amplify
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Bahari ni uhai, ni uchumi, ni urithi wetu wa pamoja. Kuulinda si hiari, ni wajibu wa kizazi chetu. ๐๐š๐ก๐š๐ซ๐ข ๐˜๐ž๐ญ๐ฎ, ๐–๐š๐ฃ๐ข๐›๐ฎ ๐–๐ž๐ญ๐ฎ #GITImpact #Climate #Environment #Ecofriendly #Sustainability #Grassroot #Women #Tanzania #Africa

Bahari ni uhai, ni uchumi, ni urithi wetu wa pamoja. Kuulinda si hiari, ni wajibu wa kizazi chetu.

๐๐š๐ก๐š๐ซ๐ข ๐˜๐ž๐ญ๐ฎ, ๐–๐š๐ฃ๐ข๐›๐ฎ ๐–๐ž๐ญ๐ฎ

#GITImpact #Climate #Environment #Ecofriendly
#Sustainability #Grassroot #Women #Tanzania #Africa
Soft Finance (@softfinancetz) 's Twitter Profile Photo

Kila ndoto inahitaji hatua thabiti kuikamilisha. Kamilisha ujenzi wa nyumba yako kwa msaada wa mkopo binafsi kutoka Soft Finance njia salama ya kufanikisha malengo yako ya makazi. ๐Ÿ“ Makumbusho Stendi & Tandika ๐Ÿ“ž 0678 000 800 | 0679 000 900 #MpangoPesa

Kila ndoto inahitaji hatua thabiti kuikamilisha.

Kamilisha ujenzi wa nyumba yako kwa msaada wa mkopo binafsi kutoka Soft Finance njia salama ya kufanikisha malengo yako ya makazi.

๐Ÿ“ Makumbusho Stendi & Tandika
๐Ÿ“ž 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPesa
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Empowering young women is not optional, it is essential. At GIT we believe that when #Girls and young #Women are equipped with knowledge, skills, and safe spaces, they become powerful agents of change. This session is one of many efforts to build their leadership, amplify their

Empowering young women is not optional, it is essential.
At GIT we believe that when #Girls  and young #Women are equipped with knowledge, skills, and safe spaces, they become powerful agents of change. This session is one of many efforts to build their leadership, amplify their
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Je, wajua kuwa wewe mwajiriwa/mfanyakazi unaweza kujiendeleza kimasomo kwa kulipa ada kupitia Mkopo binafsi unaotolewa na Soft Finance na ukaurejesha kupitia mshahara wako?! Changamkia fursa ki #MpangoPesa zaidi ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“ž0678000800 | 0679000900

Je, wajua kuwa wewe mwajiriwa/mfanyakazi unaweza kujiendeleza kimasomo kwa kulipa ada kupitia Mkopo binafsi unaotolewa na Soft Finance na ukaurejesha kupitia mshahara wako?!

Changamkia fursa ki #MpangoPesa zaidi ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ“ž0678000800 | 0679000900
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

As a partnering organization, we were pleased to be represented by our Coordinator, Mr. humphrey E ottaru , at the Young Leaders Masterclass hosted by #ArkRiseInitiative, where he delivered a technical session on Team Building and Management. We remain dedicated to equipping young

As a partnering organization, we were pleased to be represented by our Coordinator, Mr. humphrey E ottaru , at the Young Leaders Masterclass hosted by #ArkRiseInitiative, where he delivered a technical session on Team Building and Management.

We remain dedicated to equipping young
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

FRIDAYS ARE FOR SMILES!๐Ÿ˜Š Wishing you a joyful and impactful weekend, keep shining and spreading positive energy wherever you go! #GITImpact #PositiveVibes #FridayMood #GlobalImpactTransformation #Tanzania #Africa

FRIDAYS ARE FOR SMILES!๐Ÿ˜Š

Wishing you a joyful and impactful weekend, keep shining and spreading positive energy wherever you go!

#GITImpact  #PositiveVibes #FridayMood #GlobalImpactTransformation #Tanzania #Africa
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Weekend ya kibabe ๐Ÿ”ฅ unahitaji kutunisha pochi na kutanua ๐˜„๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ?! Wabongee Soft Finance kwa mkopo binafsi na wa dharura jumamosi hii ๐Ÿ“ž 0678 000 800 | 0679 000 900 #MpangoPesa

Weekend ya kibabe ๐Ÿ”ฅ unahitaji kutunisha pochi na kutanua ๐˜„๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ?!

Wabongee Soft Finance kwa mkopo binafsi na wa dharura jumamosi hii
๐Ÿ“ž 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPesa