
Ismail Jussa
@ismailjussa
+259 | Proudly Zanzibari | Vice Chairman (Zanzibar) @ACTWazalendo
ID: 165413815
https://ismailjussa.wordpress.com 11-07-2010 14:02:42
17,17K Tweet
134,134K Followers
1,1K Following




Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amejiunga chama cha ACTWazalendo . Viongozi Wakuu ACT wamempokea Shekhe Ponda, leo June 05,2025 katika makao makuu ya Chama hicho Magomeni Jijini Dar es aalaam.







KATIBU MWENEZI NCCR MAGEUZI AJIUNGA ACT WAZALENDO Katibu Mwenezi Taifa wa Chama cha NCCR Mageuzi, Ndugu Elisante Ngoma amekihama Chama hicho na kujiunga na ACTWazalendo. Elisante amepokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu leo tarehe 9 Juni 2025 katika Ukumbi


#TANZANIA:KATIBU MWENEZI TAIFA WA NCCR MAGEUZI ATIMUKIA ACT WAZALENDO Katibu Mwenezi Taifa wa Chama cha NCCR Mageuzi, Ndugu Elisante Ngoma amekihama Chama hicho na kujiunga na chama cha ACTWazalendo hii leo, ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu



"Ninajiunga na ACTWazalendo ili kutoa mchango wangu katika kuiondosha CCM madarakani. Utawala wa CCM hausikii tena sauti za watu, haujali tena mateso ya wanyonge, utawala uliojaa kiburi na maamuzi yasiyo na mashiko." Mwanachama ACT Elisante Ngoma


Katibu Mwenezi Taifa wa Chama cha NCCR Mageuzi, Ndugu Elisante Ngoma amekihama Chama hicho na kujiunga na ACTWazalendo. Elisante amepokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu leo tarehe 9 Juni 2025 Makao Makuu ya Chama hicho Magomeni, Dar es salaam.


Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupanda Nchini, huku Hamahama ya Wanasiasa ikiendelea ACT-Wazalendo imeendelea kuvuna wanachama wapya kila leo. Kwenye #KasriLa Salim Kikeke leo Tutakuwa na Katibu Mkuu wa ACTWazalendo Ndugu Ado Shaibu akitueleza nini Siri ya Mafanikio yao.


Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo ACTWazalendo Ado Shaibu Ado Shaibu amesema kuwa hawapingi harakati za CHADEMA kwakuwa Ndio njia waliyochagua. #hapaninyumbani #kasrilakikeke #crowndigital

Katibu Mkuu wa ACTWazalendo Ndugu Ado Shaibu anaeleza kuwa Chama chake hakifurahishwi na yanayoendelea CHADEMA kwa sasa. #hapaninyumbani #kasrilakikeke

“Vijana wanatumika kama machawa kwenye Vyama” Ado Shaibu akiwa kwenye @kasrilakikeke #hapaninyumbani #kasrilakikeke