Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile
Kamala Dickson

@itskamala

Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGs

ID: 1565318269

calendar_today03-07-2013 09:11:17

74,74K Tweet

57,57K Followers

2,2K Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukeketaji haukuwahi kuwa upendo. Ni udhalilishaji unaovunjilia mbali saikolojia ya mtoto. Mabadiliko ya sheria pekee hayatoshi, tunahitaji mabadiliko ya fikra pia. #UsinikeketeNilinde #EndFGM CDF Tanzania

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Ndugu waandishi wa Habari Ndugu Vijana, Nimewaita hapa leo baada ya Kushauriana na Wananchi wa Jimboni kwetu Natangaza Rasimi kwamba 2025 sigombei Nafasi yeyote Nchini Tanzania Nawashukuru

Ndugu waandishi wa Habari
Ndugu Vijana, Nimewaita hapa leo baada ya Kushauriana na Wananchi wa Jimboni kwetu Natangaza Rasimi kwamba 2025 sigombei Nafasi yeyote Nchini Tanzania

Nawashukuru
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuchukua na kurudisha FOMU ya kuwania UBUNGE VITI MAALUM - NGOs Kazi na uzoefu nilioupata katika sekta ya NGOs ilizidi kuamsha ari, maono, na nia ya dhati ya kuwatumikia na kupaza sauti za wanajamii katika ngazi za maamuzi. #NGOsImaraJamiiEndelevu

Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuchukua na kurudisha FOMU ya kuwania UBUNGE VITI MAALUM - NGOs

Kazi na uzoefu nilioupata katika sekta ya NGOs ilizidi kuamsha ari, maono, na nia ya dhati ya kuwatumikia na kupaza sauti za wanajamii katika ngazi za maamuzi.
#NGOsImaraJamiiEndelevu
Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Njia rahisi ya kulinda kura ilikuwa ni kunniga na simu mkajumuisha matokeo yote walau mkawa na Uhakika ila kwenye kanuni mlizosign wanakataza labda Kwa miujiza ila kawaida sahau

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Tumesoma Vitabu vya Nyambari Nyangwine, Tukasoma Mchikichini kwa Mtegetwa, Tukasoma Riwaya za Shigongo, Tukosoma Vitabu vya Mabala na wengine Mtaa umetulea

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Kuna katabia Tuanajenga Kwenye Nchi ka kudogodesha Democrasia kwa kutumia Nguvu na Maamlaka kwenye Taasis tunaongoza kutokubali kushindanishwa na wengine, Mgombea Pekee ilikuwa miaka ya 1970, Hata WHO wanakuwa na wagombea wengi kwa nini Chaguzi za Ndani ya Nchi TUNAKUBALI haya

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Ila AFrica kuna vitu vinaleta hali isiyoelewe Imagine Uganda kuna jamaa alichukuliwa na wasiojulikana usiku asubuhi wakamtelekeza mtaani wamemtoboa masikio wameninginiza Kufuli kwenye masikio Nimewaza walikuwa wanawaza nini hata sijaelewa ila sote ni Binadamu ujue

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Juzi Nilikuwa naongea na Mzee Mbowe tajiri mmoja ana investment kibao mbezi beach akaniambia imenitumia Zaid ya miaka 40 kuwa nilivyo Leo, Mimi moyoni nasema hizi investment zingekuwa zangu ningekuwa mbali sana ila nikijiangali hata 40 year sijagonga Life need’s patience

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Kwa Nini VIJANA wa Tanzania wanakataa hoja za ndugu Zitto kama akichaguliwa kurudi Bungeni mna uhakika atawawakilisha kwa namna mnakinzana na hoja zake? Anyways Enzi hizo za Bunge la Mzee Sitta Nilikuwa kati ya Vijana waliomfuatilia na kupenda hoja zake ila sio Nyakati hizi

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

15 Billion wametumia Kujenga Kanisa trust me kama wangejenga kiwanda wangetatua changamoto nyingi za Vijana na wanawake kuliko ambazo zinatatuliwa na kanisa kwa sasa Shaloom

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

1 Mtu Mweusi anafannya kazi kamą Prestage (Hana Malengo maalum Mf Mwizi anayeiba mali ya Umma anaiba ili iweje? 2 Mzungu anafanya kazi For Change (Challenge status quo ) If you Innovate they backup 3 Asia wanafanya kazi kamą Dignity (Nchi kama Japan mtu akizingua kazin anajiua

January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe wa Nyerere 9.12.1961: "Tukumbuke kwamba tulichokipata ni haki ya kufanya kazi sisi wenyewe, haki ya kupanga na kujenga Taifa letu".