JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile
JAMVI LA HABARI

@jamvilahabari

JAMVILAHABARI Gazeti bora na makini la kiswahili nchini Tanzania. Email- [email protected] +255676807684 http://jamvilahabari.co.tz

ID: 4164582773

linkhttps://youtu.be/QSKeiVCaHBk calendar_today11-11-2015 15:12:02

30,30K Tweet

17,17K Followers

524 Following

JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

TOP SCORES NBC PL 1. Ahoua 15 2. ⁠Mzize 13 3. ⁠Dube 12 3. Ateba 12 4. ⁠Sowah 11 5. ⁠Rupia 10 5. Pacome 10 6. ⁠Mumwala 9 7. ⁠Aziz Ki 8 7. Chikola 8 7. Kasunda 8 7. Lwasa 8 7. Sillah 8 #ChartsTanzania

TOP SCORES NBC PL

1. Ahoua 15
2. ⁠Mzize 13
3. ⁠Dube 12
3. Ateba 12
4. ⁠Sowah 11
5. ⁠Rupia 10
5. Pacome 10
6. ⁠Mumwala 9
7. ⁠Aziz Ki 8
7. Chikola 8
7. Kasunda 8
7. Lwasa 8
7. Sillah 8

#ChartsTanzania
JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

Mwili wa aliyekua Makamu wa kwanza rais na Waziri mkuu Mstaafu Hayati Cleopa David Msuya umewasili katika wilaya ya Mwanga ambapo wananchi watapata nafasi kutoa heshima za mwisho. Mwili wa hayati Msuya utaagwa katika uwanja wa Msuya uliopo Mwanga mjini.

Mwili wa aliyekua Makamu wa kwanza rais na Waziri mkuu Mstaafu Hayati Cleopa David Msuya umewasili katika wilaya ya Mwanga ambapo wananchi watapata nafasi kutoa heshima za mwisho.

Mwili wa hayati Msuya utaagwa katika uwanja wa Msuya uliopo Mwanga mjini.
JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

UCHAGUZI CWT MOTO - Leah Ulaya aliyeteuliwa ukuu wa wilaya na Rais Dkt. Samia akaukataa uteuzi aapa kushinda kwa kishindo - Makamu wake Suleiman Mathew Ikomba amvaa, aamua kugombea nae urais - sasa mchuano ni Rais dhidi ya Makamu wake mfano wa Mbowe na Lissu walivyotoana jasho

UCHAGUZI CWT MOTO

- Leah Ulaya aliyeteuliwa ukuu wa wilaya na Rais Dkt. Samia akaukataa uteuzi aapa kushinda kwa kishindo 
- Makamu wake Suleiman Mathew Ikomba amvaa, aamua kugombea nae urais 
- sasa mchuano ni Rais dhidi ya Makamu wake mfano wa Mbowe na Lissu walivyotoana jasho
JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

MAISHA NI FURAHAA.. TUFURAHINI WASHAJIIII BOG GIN ni kinywaji changamshi cha kisasa kinachotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu Kinywaji chetu ni tofauti kabisa na vinywaji vingi vilivyo sokoni kwa sasa kwa kuwa ubora wetu ni wa kimataifa maarufu wanaita London Gin Tofauti na

JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe mbalimbali wakiwasili kwenye mkutano mkuu wa CWT unaofanyika leo may 8 Jijini Dodoma ,Mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia Suluhu Hassan 🎥 #Ayoub @simba_wa_morogoro ✍🏼

JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

LEAH ULAYA KUFUNGASHWA VIRAGO LEO? - Ni katika uchaguzi mkuu wa chama cha walimu nchini 'CWT' unaofanyika leo JKCC Dodoma - Upepo wamkalia vibaya rais huyo anayemaliza muda wake mwenye historia ya kukataa uteuzi wa ukuu wa wilaya alioteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

LEAH ULAYA KUFUNGASHWA VIRAGO LEO?

- Ni katika uchaguzi mkuu wa chama cha walimu nchini 'CWT' unaofanyika leo JKCC Dodoma 

- Upepo wamkalia vibaya rais huyo anayemaliza muda wake mwenye historia ya kukataa uteuzi wa ukuu wa wilaya alioteuliwa na Rais Dkt.  Samia Suluhu Hassan
JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

UONGOZI MPYA CWT WAFUNGUKA - Waeleza mipango, mikakati kukuza ushirikiano na serikali utatuzi wa kero, migogoro ya walimu - Wazungumzia mradi wa Mwalimu House kusuasua na mipango yao kuhakikisha unasimama na kutoa matokeo chanya - rais CWT, Katibu Mkuu wasisitiza umoja,

UONGOZI MPYA
CWT WAFUNGUKA

- Waeleza mipango, mikakati kukuza ushirikiano na serikali utatuzi wa kero, migogoro ya walimu
-  Wazungumzia mradi wa Mwalimu House kusuasua na mipango yao kuhakikisha unasimama na kutoa matokeo chanya
- rais  CWT, Katibu Mkuu wasisitiza umoja,
JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2025. #JamviLaHabari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2025.

#JamviLaHabari
JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

Vinara wa kufunga mabao Ligi Kuu ya NBC. 1. Jean Ahoua 16 2. Leonel Ateba 13 3. Prince Dube 13 4. Clement Mzize 13 5. Steve Mukwala 12 6. Jonathan Sowah 12 7. Pacome Zouzoa 12 8. Djibril Sillah 11 9. Elvis Rupia 10 10. Aziz Ki 9 #JamviLaHabari

JAMVI LA HABARI (@jamvilahabari) 's Twitter Profile Photo

Vinara wa clean sheets Ligi Kuu ya NBC 1. Moussa Camara 18 2. ⁠Djigui Diarra 16 3. ⁠Patrick Munthali 12 4. ⁠Yona Amosi 11 5. ⁠Mohammed Mustapha 10 6. ⁠Yakoub Suleiman 8 7. ⁠Metacha Mnata 7 8. ⁠Ngaleka Katemba 7 #JamviLaHabari