Jay Model (@jchijend97646) 's Twitter Profile
Jay Model

@jchijend97646

ID: 1821980123920580608

calendar_today09-08-2024 18:43:12

4,4K Tweet

990 Followers

1,1K Following

Jay Model (@jchijend97646) 's Twitter Profile Photo

Mara dabi ipo ila hawachezi, mara Side kazingua, mara wengine kujiengua chadema, yaani ilimradi mambo yawe mengi kutuvuruga.

Jay Model (@jchijend97646) 's Twitter Profile Photo

Kwa namna muziki wa Ibraah unavyosikika mtaani sio wa kukosa robo ya 1B, ila kwa hili nazidi kuamini kuwa sanaa ya bongo inalipa Ustar tu na sio pesa.

Jay Model (@jchijend97646) 's Twitter Profile Photo

Nitafite kilipo kiwanda cha vocha ili niwe naenda kumaliza kutwa kwenye dampo lao. Nahakika sitatoka patupu kama vile wasemavyo mguu wa kutoka.