Wajamaa Tanzania (@julawata) 's Twitter Profile
Wajamaa Tanzania

@julawata

UJAMAA JANA! UJAMAA SASA! UJAMAA DAIMA!

ID: 855902055399030791

linkhttp://wajamaatanzania.wordpress.com calendar_today22-04-2017 21:52:06

855 Tweet

541 Followers

122 Following

MVIWATA (@mviwata) 's Twitter Profile Photo

“Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na Wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda tusiwajue”. - Sokoine. #KumbukumbuYaSokoine #MVIWATA

Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

Honoured to attend a reception in celebration of the 60th anniversary of diplomatic relations between Tanzania and China. Homage to the great socialists of the 20th C, #Mao Tse Tung and Julius K. #Nyerere for laying the foundation.

“Malcolm, for the first time today in recorded history, a former colonial country has been able to develop weapons at par with any colonial power. This is the end of colonialism through and through.” Nyerere to Malcom X, on China’s development of nuclear power, 13th October 1964.

O~lakwiđź’Ą (@rchboy9) 's Twitter Profile Photo

(---) Onesmo Mushi Natamani tuanze na maana ya hizi teminoloji Ubepari na Ujamaa, tuelezee Ujamaa ni nini? Ubepari ni nini? Tukimaliza tuendee kusema kwa nini Ubepari kwa nini Ujamaa.

O~lakwiđź’Ą (@rchboy9) 's Twitter Profile Photo

“Kwa maoni yangu, kuendelea kukodisha vivuko kutoka kwa kampuni ya AZAM Marine Ltd kunaathiri uendelevu wa huduma ya kivuko katika Kituo cha Magogoni - Kigamboni, hali hii inasabisha Wakala kuendelea kutegemea ruzuku ya serikali kugharamia shughuli zake badala ya kujitegemea"CAG

NUMSA (@numsa_media) 's Twitter Profile Photo

The NUMSA Sedibeng region is hosting a Political induction this Saturday starting at 8am. #ForTheLoveofTheWorkingClass ❤️🖤💛 Irvin Jim

The NUMSA Sedibeng region is hosting a  Political induction this Saturday starting at 8am. 
#ForTheLoveofTheWorkingClass 
❤️🖤💛
<a href="/IrvinJimSA/">Irvin Jim</a>
Wajamaa Tanzania (@julawata) 's Twitter Profile Photo

Afrika ni ya waafrika wote waliopo barani na nje ya bara letu, hivyo ukombozi wa bara letu ni jukumu letu waafrika wote tuliopo ndani na nje ya Afrika. WATUNZA MISINGI wanatekeleza wajibu huo wa kihistoria na katika hili wanatualika katika akisi na tafakari ya pamoja. ✊✊✊

Afrika ni ya waafrika wote waliopo barani na nje ya bara letu, hivyo ukombozi wa bara letu ni jukumu letu waafrika wote tuliopo ndani na nje ya Afrika.
WATUNZA MISINGI wanatekeleza wajibu huo wa kihistoria na katika hili wanatualika katika akisi na tafakari ya pamoja.
✊✊✊
deeeeeee (@revolutionaryem) 's Twitter Profile Photo

A user made an 11-minute compilation of the most magnificent scenes from the footage Al-Qassam has released in the past few days 🔥 the rеsistance is alive and well, glory to the freedom fighters

Jasper Kido (@jasperkido) 's Twitter Profile Photo

thechanzo.com/2024/05/15/act… "The singing left, dancing centre, and now dining right did not happen by chance. ACT-Wazalendo was dragged, and so did they drag themselves into the neoliberal political rat race." Hello, what do you think of my recent article? Enjoy. Thanks The Chanzo

zahir ally zorro; zahirallyzorro@gmail.com (@zahirally) 's Twitter Profile Photo

Katikati ya Ujamaa, niliona Vijana wenzangu wakitajirika hovyo tu. Nilikuwa Maganzo. Shinyanga kilometa chache kutoka Mwadui. Ilikuwepo Shida ya maji. Vijana wanaamka saa kumi kwenda getini Mwadui Mines, kuchukua maji. Wanauza Debe Shilingi moja. Saa mbili Usiku wanafunga kazi!

Wajamaa Tanzania (@julawata) 's Twitter Profile Photo

We demand the unconditional release of all arrested LUCHA 🇨🇩 activists. The DRC government should make efforts to assure its citizens' security and not to undermine those who relentless fight for it.