Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile
Jambo TV

@jambotv_

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

ID: 570641129

linkhttps://jambo.co.tz/ calendar_today04-05-2012 08:15:47

25,25K Tweet

957,957K Followers

64 Following

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Tanzania imetangaza kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 173.94 katika kutekeleza afua mbalimbali ikiwemo Kufufua kiwanda cha Tanzania Pharmacetical Industry (TPI) kilichopo Arusha kuanza kuzalisha ARV. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Jenista Mhagama wakati

Serikali ya Tanzania imetangaza kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 173.94 katika kutekeleza afua mbalimbali ikiwemo  Kufufua kiwanda cha Tanzania Pharmacetical Industry (TPI) kilichopo Arusha kuanza kuzalisha ARV.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Jenista Mhagama wakati
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Na; mwandishi wetu Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumatatu Juni 02.2025 kwa ajili ya kutajwa Tofauti na ilivyofikiriwa hapo awali kwamba pengine shauri hilo lingechukua muda

Na; mwandishi wetu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumatatu Juni 02.2025 kwa ajili ya kutajwa

Tofauti na ilivyofikiriwa hapo awali kwamba pengine shauri hilo lingechukua muda
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Wakili wa Serikali Mwandamizi Nassoro Katuga akiieleza Mahakama kuwa upelelezi wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Chadema Tanzania Taifa Wakili Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu uko kwenye hatua za mwisho

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka mkandarasi anayejenga Barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi inayokwenda kwenye Makao Makuu mapya ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kukamilisha kazi hiyo ifikapo Desemba mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka mkandarasi anayejenga Barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi inayokwenda kwenye Makao Makuu mapya ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kukamilisha kazi hiyo ifikapo Desemba mwaka huu.

Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa. Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa

Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa.

Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Kesi ya uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tanzania Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu imeahirishwa mpaka tarehe 16, Juni 2025 kutokana na upelekezi wa kesi hiyo kutokukamilika. Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi KIsutu Wakili

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche John Heche ametoa wito kwa mahakama kutafuta eneo lenye nafasi kubwa zaidi ili kuwawezesha watu wengi kuweza kushiriki kwenye kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu badala

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Makandarasi wazawa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuomba tenda mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) ili kuweza kunufaika na fursa hiyo kama sehemu ya kukuza uchumi wa Tanzania na kuimarisha mzunguko wa fedha nchini. Wito huo

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka Watanzania kuendelea kutunza mazingira pamoja na vyanzo vya maji ili kuhakikisha upatikanaji endelevu wa maji na nishati ya umeme, ambayo ni mihimili muhimu katika kukuza uchumi wa wananchi. Akizungumza jijini Dodoma alipotembelea

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta mabadiliko chanya kwenye huduma, manunuzi na mazingira bora ya

Na; mwandishi wetu Imekuwa siku ndefu ndani ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo leo, Jumatatu Juni 02.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu zilizokuwa

Na; mwandishi wetu

Imekuwa siku ndefu ndani ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo leo, Jumatatu Juni 02.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu zilizokuwa
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma na kupokelewa na viongozi wa Chama na Serikali mkoani humo, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed na Katibu wa CCM Mkoa

Barua inayoeleza kuwa usajili wa Glory of Christ Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, umefutwa imeibua sintofahamu kutokana na ‘ukimya’ wa baadhi ya viongozi wakuu wa serikali huku wananchi na wadau mbalimbali wakiendelea

VIDEO: "Kwenye mitandao watu wanapitisha karatasi kwamba Kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa, hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani, si kweli, ni uongo, ni wahuni",- Ask. Gwajima. Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima akihubiri jioni ya Juni 02, 2025

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala Rugemeleza Nshala ambaye ni miongoni mwa jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Chadema Tanzania Taifa Wakili Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu kwenye kesi zake zinazomkabili, zinazoendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mkakati wa Taifa wa Mawasiliano wa Nishati Safi ya Kupikia, pamoja na Kampeni ya Kitaifa ya Uhamasishaji na Uelimishaji kuhusu Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia lengo likiwa ni kuongeza uelewa wa wananchi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele kitakuwa mojawapo ya rejea adhimu za historia ya Tanzania. Balozi Nchimbi amesema kuwa kitabu hicho kiitwacho "Safari ya Karne", kina

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele kitakuwa mojawapo ya rejea adhimu za historia ya Tanzania. 

Balozi Nchimbi amesema kuwa kitabu hicho kiitwacho "Safari ya Karne",  kina
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kesho Jumanne Juni 03, 2025 kitafanya Kikao cha dharura cha Kamati kuu ya Chama hicho, kikitarajiwa kuanza majira ya saa tatu asubuhi Katika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar Es Salaam. Taarifa iliyosainiwa na John Wegesa Heche,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kesho Jumanne Juni 03, 2025 kitafanya Kikao cha dharura cha Kamati kuu ya Chama hicho, kikitarajiwa kuanza majira ya saa tatu asubuhi Katika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar Es Salaam.

Taarifa iliyosainiwa na John Wegesa Heche,
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa . Wito