Jamii Health (@jamiihealth) 's Twitter Profile
Jamii Health

@jamiihealth

Skills to Keep You Heathy

ID: 807698085120016384

linkhttp://www.jamiihealth.co.tz calendar_today10-12-2016 21:26:44

10,10K Tweet

12,12K Followers

6,6K Following

Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

Ili kufanya tafiti kwa ufanisi, mwanafunzi anatakiwa; -kujua nyenzo za kufanyia kazi; Mendeley, endnote, SPSS, Stata n.k -ajifunze muundo wa andiko la tafiti na ripoti -asome ripoti 5-10 za waliotangulia Kisha akajadiliane na mshauri wake juu ya nini afanye.

Ili kufanya tafiti kwa ufanisi, mwanafunzi anatakiwa;
-kujua nyenzo za kufanyia kazi; Mendeley, endnote, SPSS, Stata n.k
-ajifunze muundo wa andiko la tafiti na ripoti 
-asome ripoti 5-10 za waliotangulia 

Kisha akajadiliane na mshauri wake juu ya nini afanye.
Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

…let’s enjoy reading about care of children with musculoskeletal diseases in Africa through this exciting newsletter. paflar.org/%ef%bf%bc-2/

…let’s enjoy reading about care of children with musculoskeletal diseases in Africa through this exciting newsletter.

paflar.org/%ef%bf%bc-2/
Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

…tujifunze juu ya magonjwa ya viungo kwa watoto na upatikanaji wa huduma zao barani Afrika kupitia jarida hili maridhawa. paflar.org/%ef%bf%bc-2/

…tujifunze juu ya magonjwa ya viungo kwa watoto na upatikanaji wa huduma zao barani Afrika kupitia jarida hili maridhawa.

paflar.org/%ef%bf%bc-2/
Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

Hoja ya ada ya kumuona Dk katika hospitali za umma inatafsiriwa kimakosa. Hii ada inatozwa na vituo na ni chanzo cha mapato ya hospitali. Siyo mapato ya madaktari. Hii ni ada ya kupata huduma ya mtaalamu wa tiba ili kutambua shida na kuainisha aina ya vipimo au matibabu.

Hoja ya ada ya kumuona Dk katika hospitali za umma inatafsiriwa kimakosa.

Hii ada inatozwa na vituo na ni chanzo cha  mapato ya hospitali. Siyo mapato ya madaktari.

Hii ni ada ya kupata huduma ya mtaalamu wa tiba ili kutambua shida na kuainisha aina ya vipimo au matibabu.
Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

Ningeshauri mamlaka zinazohusika zibadili jina la ada ya kumuona Dk. Jina hili linapotosha na kudogosha huduma, na pia linatoa taswira na picha ya madaktari kukusanya masurufu katika vituo vya afya. Jina liwe ā€˜ada ya huduma ya tiba’

Ningeshauri mamlaka zinazohusika zibadili jina la ada ya kumuona Dk.

Jina hili linapotosha na kudogosha huduma, na pia linatoa taswira na picha ya madaktari kukusanya masurufu katika vituo vya afya.

Jina liwe ā€˜ada ya huduma ya tiba’
Dolli ā„¢ (@doen_has) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Medicine, 50% ni Kujua + 50% ni Kujali. Ukijua utafanya maamuzi sahihi Ukijali utachukua hatua sahihi Ukijua bila Kujali - Unakuwa Roboti Ukijali bila Kujua - Unakuwa Relativu Ukijua na Kujali ndo unakuwa Daktari,Muuguzi, Mfamasia n.k

Francis Furia (@furia_francis) 's Twitter Profile Photo

Utafiti uliofanywa na wataalamu wa Afya wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, umeripoti uwepo wa dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi kwenye nyama na vyakula vya mifugo (kuku na nguruwe). bnrc.springeropen.com/articles/10.11…

Utafiti uliofanywa na wataalamu wa Afya wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, umeripoti uwepo wa dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi kwenye nyama na vyakula vya mifugo (kuku na nguruwe).

bnrc.springeropen.com/articles/10.11…
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

🄳 KARIBU KWENYE KONGAMANO LA 13 LA KISAYANSI LA MUHAS Tukio linalowaleta pamoja watafiti, wanasayansi na wavumbuzi kutoka kila pembe ya duniašŸŒŽ Usikose fursa hii adhimu ya kushiriki: šŸ“† 18 mpaka 19 Juni, 2025 šŸ“MUHAS , Kampasi ya Mloganzila ā° 2:30 Asubuhi