
Janeth Rithe
@janerithe
National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo
ID: 1025069839340195840
02-08-2018 17:24:29
5,5K Tweet
4,4K Followers
240 Following

Watu hawakutaki Samia Suluhu kwa nini mwenge umeweka nembo yako? kwanza huu moto mngeweka makumbusho ya Taifa anayetaka aje huko aangalie huko unakozunguka hauna Faida yoyote zaidi ya wahuni kula hela za kodi zetu.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACTWazalendo, Ndugu Juma Said Sanani amechangia Tsh 250,000/= kwa ajili ya Mkutano Mkuu Maalum. Ahsante sana Ndugu Sanani. Tunaendelea kupokea michango. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo



Picha KC Dorothy Semu akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACTWazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Luhaga Mpina ameonekana kwenye vikao na viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ACTWazalendo huku duru za kisiasa zikieleza kuwa chama hicho kimeridhia mwanasiasa huyo kujiunga nacho ili


Picha KC Dorothy Semu akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACTWazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Mwenyekiti wa chama Ndugu Othumani #OMO pamoja na makamu mwenyekiti Isihaka Mchinjita waibadilishana mawazo na ndugu @Ruagampina


Picha KC Dorothy Semu akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACTWazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


shangwe Ayo Wenye Ngome zao. Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu Janeth Rithe na Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Taifa, Ndugu Abdul Nondo 🇹🇿 muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha kamati kuu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


shangwe Ayo Ngome ya Wanawake Janeth Rithe Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 Kuwa ACT ni furaha sana. Wajumbe wa Kamati Kuu. 1. Babu Duni, Mwenyekiti Mstaafu 2. Janeth Rithe, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake 3. Juma Sanani, Mjumbe wa Kamati Kuu Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


shangwe Ayo Ngome ya Wanawake Janeth Rithe Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 Omar Said Shaaban Joran Bashange Wajumbe wa Kamati Kuu muda mfupi kabla ya kikao. Ndugu Maharagande Mbarala akichota busara na hekima za Wastaafu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


shangwe Ayo Ngome ya Wanawake Janeth Rithe Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 Omar Said Shaaban Joran Bashange Maharagande Mbarala Mwenyekiti wa Chama Taifa, Othman Masoud Othman, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Ismail Jussa na Katibu Mkuu Ado Shaibu; wakiteta jambo katika Kikao cha Kamati Kuu ya ACTWazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi



Mungu awatunze mnayo maombi yangu. Mama mchungaji wa ACT WAZALENDO nawapenda sana Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Ismail Jussa Swaiba
