Jayleen ๐Ÿ’ž (@jayleenrickie) 's Twitter Profile
Jayleen ๐Ÿ’ž

@jayleenrickie

G.O.E๐Ÿ™...|
Life Therapist |

_Live_Love_laugh_

For Cakes๐ŸŽ‚
visit @leenbites_tz

ID: 1270986456547364864

calendar_today11-06-2020 07:50:03

207,207K Tweet

226,226K Followers

7,7K Following

Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Sema mtu unajijua huna nauli kamili ongea na konda kabla ya kuingia kwenye gari maana ni kutafuta watu lawama tu kwamba hawana huruma wanamajibu ya ovyo

๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Masai Herbal Clinic... Hawa ni wataalamu wa tiba asilia, waliojikita kusaidia watu kurejesha afya zao bila kutumia kemikali. Wanatoa tiba kwa changamoto kama: โœ… Upungufu wa nguvu za kiume โœ… Kisukari na shinikizo la damu โœ… Bawasiri โœ… Uchovu wa mwili usioisha โœ… Kupungua kwa

Masai Herbal Clinic... 

Hawa ni wataalamu wa tiba asilia, waliojikita kusaidia watu kurejesha afya zao bila kutumia kemikali. Wanatoa tiba kwa changamoto kama:

โœ… Upungufu wa nguvu za kiume
โœ… Kisukari na shinikizo la damu
โœ… Bawasiri
โœ… Uchovu wa mwili usioisha
โœ… Kupungua kwa
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kuna Umri Ukifika Huhitaji Ujuzi Tena Ili Kupata Michongoโ€”Unahitaji Network ya WATU Sahihi Wenye Credibility Watakaolitaja Jina Lako Sehemu Zenye FURSA then Boom Stampede! PS: Ili Kujenga EMPIRE Unahitaji Watu

Kuna Umri Ukifika Huhitaji Ujuzi Tena Ili Kupata Michongoโ€”Unahitaji Network ya WATU Sahihi Wenye Credibility Watakaolitaja Jina Lako Sehemu Zenye FURSA then Boom Stampede! 

PS: Ili Kujenga EMPIRE Unahitaji Watu
Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndio binadamu pekee anayewaumiza kichwa Marekani Jina lake ni EDWARD SNOWDEN Mwanaume Aliyeifichua Siri Kuu Za Marekani. Alikuwa mfanyakazi wa NSA (National Security Agency), shirika lenye nguvu zaidi la ujasusi wa mawasiliano duniani. Ndani ya muda mfupi, Snowden

Huyu ndio binadamu pekee anayewaumiza kichwa Marekani 

Jina lake ni  EDWARD SNOWDEN

Mwanaume Aliyeifichua Siri Kuu Za Marekani.
Alikuwa mfanyakazi wa  NSA (National Security Agency), shirika lenye nguvu zaidi la ujasusi wa mawasiliano duniani.

Ndani ya muda mfupi, Snowden
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Shugulika na MASISIEMU huku ukizingatia Afya ili uishi miaka mingi uone ANGUKO lao.๐Ÿ‹๏ธ๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿ’ช๐Ÿพ TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Shugulika na MASISIEMU huku ukizingatia Afya ili uishi miaka mingi uone ANGUKO lao.๐Ÿ‹๏ธ๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears โ™ฅ๏ธ Ukimcha Mungu na kufanya ibada kwa kumaanisha utaanza kuelewa maana halisi ya hili neno furaha halafu unakua na amani flani hivi ambayo huwezi kuipata kwa kufanya jambo jingine lolote lile isipokua katika ibada tu๐Ÿ™ AMANI IWE NANYI NAWAPENDA WOTE ๐Ÿฅฐโ™ฅ๏ธ

Hello Dears โ™ฅ๏ธ Ukimcha Mungu na kufanya ibada kwa kumaanisha utaanza kuelewa maana halisi ya hili neno furaha halafu unakua na amani flani hivi ambayo huwezi kuipata kwa kufanya jambo jingine lolote lile isipokua katika ibada tu๐Ÿ™ AMANI IWE NANYI NAWAPENDA WOTE ๐Ÿฅฐโ™ฅ๏ธ
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

CHALLENGE ACCEPTED: BACK BENCHA taja mstari wowote wa BIBLIA ulioweka kichwani ambao unaweza kuutaja bila hata KUUSOMA kweny BIBLIA. Mimi: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ Zaburi 71:1 "nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele"

Eddo Lalika (@eddolalika) 's Twitter Profile Photo

Wajomba kabla sijajichanganya naomba mnishauri Nina shangazi zenu watatu 1. MPARE 2. MUIRAQ-MBULU 3. MZIGUA Ni chague kabila gani hapa ? Ushauri wenu wajomba zangu.

Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Yani mtoto wa darasa la 4 hajui kuosha vyombo na wazazi wanakwambia mwacheni mwanangu nafanya kazi kwa ajili yao house girl yupo namlipa ๐Ÿ™Œ