Jayval Babere (@jayvalb34197) 's Twitter Profile
Jayval Babere

@jayvalb34197

i belive in the god is my everything allah akbar

ID: 1638567034400174081

calendar_today22-03-2023 15:44:31

642 Tweet

301 Followers

729 Following

chuma chakavu (@chuma__1) 's Twitter Profile Photo

Tweeter bila followers ni kujiongelesha shusha handle yako hapa tukuinue ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana ndugu yangu Tutuvengele1 ๐Ÿค Ni vijana wachache katika Taifa letu wanaweza kusimama hadharani na kumtaka IGP aondoke madarakani kwa kuwa ameshindwa kulinda raia na mali zao. Watu wengi hawana sauti, pia waoga, watukusaidia kufikisha ujumbe huu kwa IGP na RAIS.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Namna hii mawakili ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ Huyo โ€œmsumbufuโ€. Boniface Mwabukusi ndo anatakiwa apewe kura zenu - mtusaidie umma na mshirikiane kuboresha TLS Kazi kwenu! ๐Ÿ‘๐Ÿฝ #TutaelewanaTu

Namna hii mawakili ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ
Huyo โ€œmsumbufuโ€. <a href="/Mwabuk2Boniface/">Boniface Mwabukusi</a> ndo anatakiwa apewe kura zenu - mtusaidie umma na mshirikiane kuboresha TLS
Kazi kwenu! ๐Ÿ‘๐Ÿฝ
#TutaelewanaTu
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Relevancy and Acvountsbility is a Position.Tafadhali mfikie kila Wakili unayemfahamu . Omba kura yake kwa niaba yangu ili niongoze kwa Maslahi ya Mawakili na Jamii yetu. Hatuna cha kupoteza isipokuwa unyonge wetu.Aluta Continua.

Relevancy and Acvountsbility is a Position.Tafadhali mfikie kila Wakili unayemfahamu .
Omba kura yake kwa niaba yangu  ili niongoze kwa Maslahi ya Mawakili na Jamii yetu. Hatuna cha kupoteza isipokuwa unyonge wetu.Aluta Continua.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jana tulipata wasaa wa kuwasikiliza Wagombea uraisi kupitia chama cha mawakili TLS. Wagombea wote walisema vipaombele vyao, Mwabukusi alisema wazi bila kupepesa macho kuwa yeye kipaombele chake ni #KatibaMpya Na alitoa mfano mzuri wa kuwa "katiba ni kama kichwa, ukilitoa basi

Jana tulipata wasaa wa kuwasikiliza Wagombea uraisi kupitia chama cha mawakili TLS.

Wagombea wote walisema vipaombele vyao, Mwabukusi alisema wazi bila kupepesa macho kuwa yeye kipaombele chake ni #KatibaMpya 

Na alitoa mfano mzuri wa kuwa "katiba ni kama kichwa, ukilitoa basi
Myunani (@maxtz255_) 's Twitter Profile Photo

JumaPili ya Vitambulisho ๐Ÿ˜‚ (X identification card) Leo natoa ID 1000 . Kwa hivi Vigezo 1.Retweet au quote Hii post 2. Like. 3. Nifollow 4.Comment jina na username yako . Usipofanya Hivyo hakutakuwa na namna โœ๏ธ Aya Twende kazi wana ๐Ÿ™

JumaPili ya Vitambulisho ๐Ÿ˜‚ (X identification card) 
Leo natoa ID 1000 .
Kwa hivi Vigezo 
1.Retweet au quote Hii post
2. Like.
3. Nifollow 
4.Comment jina na username yako .
Usipofanya Hivyo hakutakuwa na namna โœ๏ธ
Aya Twende kazi wana ๐Ÿ™
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa. DEUSDEDITH SOKA yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi. Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na

Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa.

<a href="/DEUSDEDITHSOKA/">DEUSDEDITH SOKA</a>  yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi.

Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na
Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Kijana mwenzetu hatyjui ana hali gani huko hebu sambazeni huu ujumbe wamwachie jamani .......๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ Naomba retweet iwafikie polisi

Kijana mwenzetu hatyjui ana hali gani huko hebu sambazeni huu ujumbe wamwachie jamani .......๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ

Naomba retweet iwafikie polisi