
Jennifer Kayombo🌙🕋
@jenniferkayombo
If you argue against reality, you will suffer| Dada Mkuu-Story Telling Program |Season 1|Episode 3👇🏾|
ID: 4654400595
https://youtu.be/SriIQMSTxms 30-12-2015 14:04:10
11,11K Tweet
12,12K Followers
1,1K Following

Jennifer Kayombo🌙🕋 #LisheBora hii ajenda inakabiliwa na changamoto ya umasikini unaozizunguka jamii zetu ila linawezekana kutatuliwa kwa mkakati wa pamoja wa kitaifa #ElimikaWikiendi








Jennifer Kayombo🌙🕋 Dada mkuu, it's back again here we go youth's prosperity specially girls must be priority Kilalaheri cc





Mtoto wa kike ana ndoto, lakini ndoto hizo hukatishwa kila mwezi kwa sababu ya kukosa pedi. Dada Mkuu Initiative 👉 Changia leo — kuwa sehemu ya mabadiliko! 📍Lipa Namba: 15890533 (Glaring Foundation) 📱Voda: 0749338333 (Dada Mkuu Initiative) #ChangiaPedi #HedhiSioAibu




Wasichana wanaokosa taulo za kike wakati wa hedhi hupitia aibu na hofu hali inayowaathiri kisaikolojia. Ni muhimu kuondoa tozo na kuweka bajeti endelevu ya pedi ili kuwawezesha mabinti kusoma bila vikwazo. Jennifer Kayombo🌙🕋 alipozungumza kwenye #ElimikaWikiendi Spaces.

