JITU …!💪🏿 (@joellwagamusic) 's Twitter Profile
JITU …!💪🏿

@joellwagamusic

Multi Award Winning Tanzanian Gospel Artist | East Africa Best Male Gospel Arstist of the Year 2022 | NEW 👇

ID: 1024396493199949824

linkhttps://youtu.be/e5fa1t9LRs4 calendar_today31-07-2018 20:48:51

157 Tweet

2,2K Followers

60 Following

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

#BoomFresh #NafasiNyingine Kutoka kwake mwimbaji mahiri wa nyimbo za dini🎶📖 nchini @joellwaga_ ameleta zawadi ya wimbo mpya uitwao “Nafasi Nyingine” ambayo inapatikana Boomplay PEKEE! Bofya link👉boomplay.lnk.to/Nafasinyingine

#BoomFresh #NafasiNyingine
Kutoka kwake mwimbaji mahiri wa nyimbo za dini🎶📖 nchini @joellwaga_ ameleta zawadi ya wimbo mpya uitwao “Nafasi Nyingine” ambayo inapatikana Boomplay PEKEE! Bofya link👉boomplay.lnk.to/Nafasinyingine
TRACE Gospel (@trace_gospel) 's Twitter Profile Photo

@joellwaga_ : "What is good is always an enemy to what is better !💥 ---------------- Ce qui est bon est toujours un ennemi de ce qui est mieux ! 💥" #WeAreGospelMusic #TraceGospel

@joellwaga_ : "What is good is always an enemy to what is better !💥
----------------
Ce qui est bon est toujours un ennemi de ce qui est mieux ! 💥"

#WeAreGospelMusic
#TraceGospel
Gospel Headlines Leo (@gospelleo) 's Twitter Profile Photo

#GhlHits🔵🔴 From JOEL LWAGA, you may call him as a Mr wonderful (@joellwaga_) New song: #WAWEZA Press link to his bio so that you can share the blessings with your friends. Gospel Headlines Leo #TheVoiceToTheVoiceless @… instagram.com/p/B-zalaihx3v/…

JITU …!💪🏿 (@joellwagamusic) 's Twitter Profile Photo

LADIES AND GENTLEMEN🙌💥🔥 the loooong wait is over!!! Karibu kwny #Bio yangu uweze kutazama Wimbo wa Kwanza katika EP yangu ya #THAMANI✨uitwao #WAWEZA💪 Download original Audio kupitia @boomplaymusic_tz . . Audio produced by; Harry Gb

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

#BoomFresh #Waweza Wakati hisia za sikukuu ya Pasaka zikiwa juu, mtaalamu wa nyimbo za Injili @joellwaga_ ameleta raha mpya inaitwa “Waweza” Ni wimbo wenye vionjo vya kipekee na kwa hakika wastahili kuufaidi. Unapatikana Boomplay PEKEE, bofya link👉 Boom.lnk.to/JoelLwagaWaweza

#BoomFresh #Waweza
Wakati hisia za sikukuu ya Pasaka zikiwa juu, mtaalamu wa nyimbo za Injili @joellwaga_ ameleta raha mpya inaitwa “Waweza”
Ni wimbo wenye vionjo vya kipekee na kwa hakika wastahili kuufaidi. Unapatikana Boomplay PEKEE, bofya link👉 Boom.lnk.to/JoelLwagaWaweza
JITU …!💪🏿 (@joellwagamusic) 's Twitter Profile Photo

Wengi wetu tungeweza kutumia fedha au vitu mwanzoni kwa tahadhari ile ile ya mwishoni wakati zinakaribia (inakaribia) kuisha, huenda tungekuwa na hatua zaidi kuliko tuliyonayo sasa..!

JITU …!💪🏿 (@joellwagamusic) 's Twitter Profile Photo

When we Speak about “Vocal ability” and skills, in Tz kwa Wanaume these Three are the BEST and Most GIFTED! 1.Suleiman Willson 2.Josh Cleopa 3.Jonathan Shemsanga (Jona Keyz) Kama huwafahamu, search them then rudi hapa niambie maoni yako…

JITU …!💪🏿 (@joellwagamusic) 's Twitter Profile Photo

Kwa Wadada Kuselect Top 3 imenishinda kidg, the best I can do is, Top 5 of the BEST and MOST VOCALLY GIFTED Ladies in Tz across all music! 1.Hellen Majeshi (Ruby) 2.Abigail Chams 3.Bella Kombo 4.Angel Magoti 5.Mellisa John Achana na mengine…Vocal tu!

JITU …!💪🏿 (@joellwagamusic) 's Twitter Profile Photo

Hakuna justification yoyote ya kupoteza uhai wa mtu kwa sababu yoyote ile! Hii nchi ni ya watanzania wote, tunaweza kutofautiana kwenye Mengi ila haiko sababu inayohalalisha kuondoleana uhai tena kikatili kwa sababu ya huko kutofautiana. #JUSTICEFORKIBAO