
Joel Ole Meitaya💧
@joelymeitaya
Proud Son of Maasai,Activist,Maasai Land Rights Advocate,CEO: @ReclaimMasailandmovemnt
ID: 1395439527582371845
http://www.joely.com 20-05-2021 18:01:57
14,14K Tweet
6,6K Followers
5,5K Following

Wekeni kurasa zote ninyi! Na bado! Mmeona cha moto UN Human Rights Council you are now covering you a$$es 🚮 Ndo kwanza tumeanza hadi #TutaelewanaTu







Hawaogopi Kumzuia John Heche kufanya mdahalo huu. Its too Much for them to sustain Kauli za Heche. It pains them alot wakimsikia akiongea.


Diwani wa mbogamboga amegoma kutaja jina la Godbless E.J. Lema msibani hata baada ya kuombwa na mtumishi wa Mungu. MaCCM yamebeba chuki vifuani. Wanachukia yeyote ambaye yupo CHADEMA. Tunaelekea pazuri, wananchi wanaelewa, unasikia makofi msibani. Wamemdharau diwani wa mbogamboga.









